FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wapi lilipompinga?Bunge limempinga Kitila Mkumbo hahahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi lilipompinga?Bunge limempinga Kitila Mkumbo hahahahaa
wanapima upepo, wanaweza kuikana hii nyarakaGuys this is too good to be true !!! Ennnh ! Kama ni kweli du ! Machawa sijui atakua na hali gani
Kwenda wewe, sina rafiki muongo na mjinga. Usijipendekeze kwangu.Nimekumiss sana Rafiki
samahani halijampinga, wamemsapoti, yameisha Boss, umeshinda. Hapo vipi?Wapi lilipompinga?
Huu ujinga wa wanaccm ndio naupinga san, yaan mkipewa hbr dhidi ya CCM hamuamin kama ni CCM!! Hata mambo ya escrow, mchuchuma, iptl Richmond mlianza hivhiv kukataa mkidai ni CDM mwisho wa cku mkaja kubali!!Ngoja tuone 😃 maana nyie bavicha siyo wa kuwaamini fasta fasta!
Ile video nimeangalia nimetamani kulia, yule ndo professor kweli...?Huko twitter kuna video za kesi ya Migodi na wazungu dah hao maprofesa tunaosema nguli wanatia aibu kwakweli [emoji706]
wanakuaga na confidence kama wavuta bangiWale wanaounga mkono waje sasa
Acheni mambo ya kiwaki tena kaeni kimya kabisaWapi lilipompinga?
Acha kupaparika!Huu ujinga wa wanaccm ndio naupinga san, yaan mkipewa hbr dhidi ya CCM hamuamin kama ni CCM!! Hata mambo ya escrow, mchuchuma, iptl Richmond mlianza hivhiv kukataa mkidai ni CDM mwisho wa cku mkaja kubali!!
hahahaahaha leo kama umepaniki rafiki kipenzi cha roho yangu, kulikoni? ni huu waraka tu?Kwenda wewe, sina rafiki muongo na mjinga. Usijipendekeze kwangu.
Akili walizoamzimisha zimerudi sasa, Ukiazimisha akili ukumbuke kuwa Wakati unapohitaji kuzitumia unapata taabu sana.Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki"
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano
7. Hakuna muda wa mkataba
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
hahahahahahhaa Mpwa usiwe mkali, wamepaniki sanaAcheni mambo ya kiwaki tena kaeni kimya kabisa
Kama ameshapanic basi huu waraka unaweza Kuwa halisi😃hahahaahaha leo kama umepaniki rafiki kipenzi cha roho yangu, kulikoni? ni huu waraka tu?
Tena angekuwa jirani ningetenda dhambi mimi tuliyazungumzia haya kwa nguvu kubwa wao wakawa wanapinga tuuhahahahahahhaa Mpwa usiwe mkali, wamepaniki sana
Mwarabu hanaga hiana anaweza akawaomba nyuma akawasamehesasa itakuaje?...si tunasikia kuna baadhi ya wanasiasa wamekula pesa ndefu ya mwarabu?....wataitemaje?.
ndio asili yao kupinga kila kituTena angekuwa jirani ningetenda dhambi mimi tuliyazungumzia haya kwa nguvu kubwa wao wakawa wanapinga tuu