Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa..
Mbona hilo karatasi ;lako halina tarehe? halina saini?

Hivi huwa mnaota?
 
Nakumbuka jinsi watanzania walivyoungana kuipigania ATC baada ya kuingia ubia ulioipeleka kuzimu.

Hili la bandari nalo hata watumie mbinu gani wahusika watasalimu amri mikono chini.
 
Sasa nhuyu alikuwa ana "ANATOROMA" Kwakihaya ukiambiwa NOTOROMA Nyamaza usiendelee yani nikama maji machafu yanamwagika ndo yule mbunge wa mageza ya Dar alikuwa anatoroma.
 
Back
Top Bottom