JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Hili ulichoandika hapa ni muendelezo wa mawazo ya kidikteta mliyonayo, hilo shina linaundwa na kina nani? ina maana hao wananchi kwenye hilo shina wote ni CCM? siamini.Mbona lipo wazi kwenye picha, hicho ni kikao cha balozi wa shina. Ambaye kimsingi anapaswa kuitisha kikao cha wananchi kwenye shina lake.
CHADEMA nao wasingesusia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wangekuwa na uwezo wa kuongea na wananchi kupitia vikao vya mitaa. Ila walivyo walafi wakazuia wenyeviti kugombea nchi nzima.
Ki ukweli wengi wao walikasirika sana. Maana kuna maeneo wenyeviti wa CCM walikuwa hawakubaliki.Lakini kwenye ubunge Mbowe and co. hawakususia. Ndio maana wananchi wakawaadhibu kwenye sanduku la kura 2020.
Mawazo mengine ya kishamba.CCM ndio wanao itawala nchi kwahiyo wao wana haki ya kutembelea kila kona ya nchi kuangalia utekelezaji wa Ilani
Acha unafiki wewe na unaotamani waigwe,dawa hapa ni katiba mpya tu,mwingine wote utakuwa ni uhuni tu.Nampongeza Katibu Mkuu wa CCM na Chama Chake, kwa kupuza amri isiyohalali ya zuio la Mikutano ya hadhara, Natoa wito kwa Vyama vingine Vya siasa kuwaunga Mkono CCM kusimamia Sheria ya Vyama vya siasa na kuendelea na mikutano ya hadhara kwa Mujibu wa Sheria.
Katazo fake kabisaNampongeza Katibu Mkuu wa CCM na Chama Chake, kwa kupuza amri isiyohalali ya zuio la Mikutano ya hadhara, Natoa wito kwa Vyama vingine Vya siasa kuwaunga Mkono CCM kusimamia Sheria ya Vyama vya siasa na kuendelea na mikutano ya hadhara kwa Mujibu wa Sheria.
Hiyo katiba mpya ikisema hakuna kuzurura na mikutano yenu mpaka wakati wa uchaguzi ndo mzurule hapo utasemaje?Acha unafiki wewe na unaotamani waigwe,dawa hapa ni katiba mpya tu,mwingine wote utakuwa ni uhuni tu.
Tunayo draft tayari ambayo inawafanya wanaonufaika na hii watokwe jasho Hadi la kucha,na ndio sababu ya kukataa hata kusikia habari ya katiba mpya.Hiyo katiba mpya ikisema hakuna kuzurura na mikutano yenu mpaka wakati wa uchaguzi ndo mzurule hapo utasemaje?
Katiba mpya haiepukiki!CCM ndio wanao itawala nchi kwahiyo wao wana haki ya kutembelea kila kona ya nchi kuangalia utekelezaji wa Ilani
Itakusaidia nini?Katiba mpya haiepukiki!