Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Salum Mwalimu.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata kwenye chumba chetu cha habari Royal Tv leo Jumatatu Juni 29, 2026, kutoka kwa chanzo chetu cha uhakika ndani ya Kikao hicho cha kamati kuu, miongoni mwa wajumbe na viongozi wa Sekretarieti ya CHAUMMA taifa waliosaini waraka huo ni pamoja na Benson Kigaila, Edward Kinabo, Ismail Kangeta na Elia Gregory Mahwa.

Wengine waliosaini waraka huo kupitia kwenye Kikao hicho kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya CHAUMMA, Kinondoni Jijini Dar Es Salaam ni Aisha Madoga, David Chiduo, Dorcas Mpatili na Mohamed Pume.

Miongoni mwa yale yaliyotajwa katika waraka huo wa kutokuwa na imani na Salum Mwalimu ni pamoja na kutokuwa muwazi katika mapato na matumizi ya Chama kufanya ubadhirifu wa fedha za chama, kubadilisha msimamo wa Chama kwa utashi na matakwa yake binafsi na kushindwa kuheshimu uongozi na kuendesha chama mithili ya mali yake binafsi.
 
ok.

hii imetoka chadema HQ right? :noitsTrue:
 
Waache Uhuni Kwani Mwanzo Wakati Anakwenda Watu Walisema Mzee Wa Ubwabwa Akashupaza Shingo
 
😆 😆 ushirika wa wachawi huwa haudumu bro. Pesa walizolipwa na watawala kudhoofisha demokrasia ni ndefu, lazima wadhulumiane. Wamwachie mze Rungwe chama chake kikiwa kizima, wasikigawe gawe kimakundi
Kama huyo Salum Mwalimu nasikia alibaki na V8 la mgombea urais hata baada ya ule uchafuzi wao kutamatika! Kwa utaratibu gani, wanajuana wenyewe.
 
Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Salum Mwalimu.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata kwenye chumba chetu cha habari Royal Tv leo Jumatatu Juni 29, 2026, kutoka kwa chanzo chetu cha uhakika ndani ya Kikao hicho cha kamati kuu, miongoni mwa wajumbe na viongozi wa Sekretarieti ya CHAUMMA taifa waliosaini waraka huo ni pamoja na Benson Kigaila, Edward Kinabo, Ismail Kangeta na Elia Gregory Mahwa.

Wengine waliosaini waraka huo kupitia kwenye Kikao hicho kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya CHAUMMA, Kinondoni Jijini Dar Es Salaam ni Aisha Madoga, David Chiduo, Dorcas Mpatili na Mohamed Pume.

Miongoni mwa yale yaliyotajwa katika waraka huo wa kutokuwa na imani na Salum Mwalimu ni pamoja na kutokuwa muwazi katika mapato na matumizi ya Chama kufanya ubadhirifu wa fedha za chama, kubadilisha msimamo wa Chama kwa utashi na matakwa yake binafsi na kushindwa kuheshimu uongozi na kuendesha chama mithili ya mali yake binafsi.
Salum mwalim sio mwanasiasa hodari, Chadema alijificha kwa kivuli cha Mbowe. Wakati anasoma IFM alishindwa vibaya kuwania urais wakati huo.
 
Salum Mwalimu ndiye alikabidhiwa fungu na Mbowe ambayo ni sehemu ya ile b12 Mbowe aliyopewa na Samuya ili kuzuia Lissu asiwe mwenyekiti. Hela hiyo Salum Mwalimu aliitafuna sana na hawara yake Aisha Madoga.
Aisha Madoga ana hasira nae maana alikula mzigo akambwaga akaenda kumpokonya kileo mchepuko wake Moza akaweka ndani. Humo chamani kwao ni futuhi na wale mamluki wote walishatimka hata Mrema alishaondoka yupo zake Mesia pub akigida ugimbi asubuhi mchana na usiku.
 
Back
Top Bottom