Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu

Miongoni mwa yale yaliyotajwa katika waraka huo wa kutokuwa na imani na Salum Mwalimu ni pamoja na kutokuwa muwazi katika mapato na matumizi ya Chama kufanya ubadhirifu wa fedha za chama, kubadilisha msimamo wa Chama kwa utashi na matakwa yake binafsi na kushindwa kuheshimu uongozi na kuendesha chama mithili ya mali yake binafsi.🤣🤣🤣🤣
 
Chadema imewakaza zaidi ya mnavyokazwa hadi mmerusha taulo, nguruwe wa kizimkazi, nonsense ni wajinga wenzio pamoja na wanaokufuga kwenye makorido ya Lumumba.
relax bas kidogo,

pata tama la maji upooze mihemko useless kidogo plz, gentleman, na itapendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…