Pre GE2025 Sekretarieti ya Mnyika yakata Majina ya Wagombea 'Wanaoonekana kuwa Kambi ya Lissu'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha kuandika kwa kukurupuka Utafikiri unakimbizwa nyuma. Rose Mayemva ndio nani huyo na anatokea mkoa gani? Pambalu amekatwa lini? Au unamzungumzia Pambalu yupi?
 
Lissu alitakiwa awe Katibu Mkuu wa chama,ila sio uwenyekiti!!
Pia ni mtu katili sana!
Hajui aseme Nini na wapi!!
Ukatili wa Lissu ni upi. Propaganda ni silaha mbaya imayommaliza Lissu. Watawala wanajua kutengeneza siasa za kummaliza adui. Vipi afae kuwa KM lakini asiwe Chairman
 
Ikumbukwe kwamba wajumbe wa sekretarieti hiyo ya John Mnyika ni wale wenyeviti wa kanda walioalikwa na Mbowe nyumbani kwake, na kuelekezwa kutoa tamko kuwa wanamtaka Mbowe agombee tena nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.😭😭😭
 
Kuna siku mtakuja kuelewa Mbowe ni nani CDM, bahati mbaya mtalifahamu kwa kuchelewa sana.

Mbowe yapo makubaliano ambayo alishafanya na CCM, hayo anayajua yeye na watu wake, makubaliano niyakibiashara zaidi.

COVID 19 watarudi tena bungeni safari sio COVID tena bali wafuasi wa CDM.
Yapo majimbo fulani fulani CDM anaweza kuzawadiwa ili kukuza ruzuku, yapo majimbo muhimu kama Mbeya, Arusha nk hayo CDM hawataweka watu strong na Mbeya Sugu hatagombea, tayari huyu ashakunja chake mapema ( he decided to concentrate on his business + political business in duo with his bosi)
 
Hiyo ni kati ya Fedha na Haki! That is the end of Chadema.
 
Ukatili wa Lissu ni upi. Propaganda ni silaha mbaya imayommaliza Lissu. Watawala wanajua kutengeneza siasa za kummaliza adui. Vipi afae kuwa KM lakini asiwe Chairman
KM anaongozwa na mwenyekiti.
Akiwa mwenyekiti,TAL hatawaliki!
Pia mwelezeni alite familia huku,yule ni mkimbizi uje
 
Kwamba Dorcas Francis ana vigezo kuliko Rose Mayemba? Haina shida Acha ajaze loyalists kwenye uongozi wake ila matokeo tutayapata huku mashinani. Na baada ya huu uchaguzi chadema haitakua ile tena, itageuka CUF ya lipumba. Imagine Wenje ndio 2nd in command!! Kamati kuu kina Assenga na Naftali aisee I'm done with CHADEMA.

RIP Mawazo you died for this crap?
 
Vipi kamanda umeshatupa taulo?Mbona mapema uchaguzi si kesho?Komaa Kamanda.
 
Kama tatizo ni uwenyekiti basi kachukueni ule wa TLP huu wa CDM mushaukosa
 
Kwa hiyo ulitaka Dorcas akatwe kwa sababu unamdharau. Mbona Pambalu hajakatwa?
Of course, kwa hatua iliyofikia sasa CDM haitakuwa ile ile. Unachosahau ni kuwa haikuwa hivi siku zote. Ilijengwa na watu wanaweza kuijenga tena.
Shida yenu ni kuwa mnaamini kuwa kuna watu wanastahili nafasi kuliko wengine. Niambie Lissu amefanya nini katika nafasi ya umakamu Mwenyekiti kukijenga chama ambacho Wenje hataweza kufanya? Na hivi mmekata tamaa mapema hivi kiasi cha kuamini ni lazima Wenje atashinda?

Kama uliipenda Chadema kwa sababu ya personalities, nakutakia bon voyage.

Amandla...
 
Reactions: Tui
Vipi kamanda umeshatupa taulo?Mbona mapema uchaguzi si kesho?Komaa Kamanda.
Aah hopes za kushinda zinazidi kupungua muda unavyozidi yoyoma, usishangae hata Lissu akakatwa kugombea hiyo kesho.

Nitaachana na siasa mazima, CCM itawale milele tu.
 
Aah hopes za kushinda zinazidi kupungua muda unavyozidi yoyoma, usishangae hata Lissu akakatwa kugombea hiyo kesho.

Nitaachana na siasa mazima, CCM itawale milele tu.
Lissu ni mchafuzi wa chama!
Wagombea ni odero na FAM.
 
hiyo ulitaka Dorcas akatwe kwa sababu unamdharau. Mbona Pambalu hajakatwa?
Rose mayemba ni Mwenyekiti wa chadema wa mkoa kwa miaka zaidi ya 10 sasa. Yaani hana vigezo kuingia kamati kuu ila Pasqualina au Nsaro ambao hatujawahi hata wasikia kwenye struggle za chama ndio wana vigezo? Hivi hao watu wa NGO ndio unawaweka front unaacha proven foot soldier kama Rose?

Twaha Mwaipaya amekua katibu mwenezi BAVICHA yaani hana vigezo ila Bashir na Nyamatare ndio wana vigezo? Ni ajabu sana unachukua random people unaacha proven leaders.

Ni aibu sana.
 
wasio na sifa wala vigezo vya kikatiba ni muhimu sana wakaenguliwa,

ni ushirikina kuzingatia sijui timu ya nani huko. Kwani mnakwenda kucheza mpira.

huna vigezo ni Lazima ukatwe bila haya, alaa 🐒
 
Unajichanganya. Si nyinyi ndio wenye sera ya kusema kila mtu apate nafasi ya kuongoza. Kwa nini muone Mbowe ame overstay lakini Mayemba kuwa bado anakubalika?
Hao uliowataja wana nafasi kubwa ya kuteuliwa kuliko hao wengine. Tusisahau kuwa Mbowe alimteua Heche kuwa mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kushindwa uchaguzi.
Lema juzi kalalamika kuwa wanaachwaje ma supastar kama yeye na Msigwa wanachukuliwa watu kama Wenje? Hii sense of entitlement ndio inawaponza. Mmetanguliza mno maslahi binafsi kuliko ya chama. Rose ni kijana na ataendelea kuwa Mwenyekiti wa mkoa. Mtu wake akishindwa atakuwa na nafasi nzuri ya kujipanga kugombea Uenyekiti wa Kanda. Hapaswi kulialia.

Amandla...
 
Reactions: Tui
Lissu ni kivuruge asipewe kura hata moja.
 
Pole zao walikuwa hawajui Siasa Ya Tanzania ni Mchaga











Tafuta

Wachagga​

kabila la Kenya na Tanzania

Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.

Vikundi vya Wachagga​



Lugha ya Kichagga​





Koo za Kichagga​









Utawala wa jadi wa Wachagga​



Elimu kati ya Wachagga​








Ardhi​




Kilimo na chakula​









Maoni juu ya Wachagga​
















Tanbihi​




Marejeo​






Viungo vya nje​






mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…