Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Acha kuandika kwa kukurupuka Utafikiri unakimbizwa nyuma. Rose Mayemva ndio nani huyo na anatokea mkoa gani? Pambalu amekatwa lini? Au unamzungumzia Pambalu yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukatili wa Lissu ni upi. Propaganda ni silaha mbaya imayommaliza Lissu. Watawala wanajua kutengeneza siasa za kummaliza adui. Vipi afae kuwa KM lakini asiwe ChairmanLissu alitakiwa awe Katibu Mkuu wa chama,ila sio uwenyekiti!!
Pia ni mtu katili sana!
Hajui aseme Nini na wapi!!
Ikumbukwe kwamba wajumbe wa sekretarieti hiyo ya John Mnyika ni wale wenyeviti wa kanda walioalikwa na Mbowe nyumbani kwake, na kuelekezwa kutoa tamko kuwa wanamtaka Mbowe agombee tena nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.😭😭😭Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi mbalimbali.
Hayo yamefanyika sana hata kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka jana, na CHADEMA ikalalamika sana. Lakini jambo la ajabu ni kuwa CHADEMA hao hao waliokuwa wakilalamikia uchafu huo, chini ya katibu mkuu John Mnyika imefanya uchafu huo huo dhidi ya wagombea wa nafasi za ujumbe wa kamati kuu waliotamka wazi kuwa wanamwunga mkondo Tundu Lisu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Wahanga wa uchafu huo ni dada mpambanaji ROSE MAYEMVA na PAMBALU.
Ikumbukwe kwamba wajumbe wa sekretarieti hiyo ya John Mnyika ni wale wenyeviti wa kanda walioalikwa na Mbowe nyumbani kwake, na kuelekezwa kutoa tamko kuwa wanamtaka Mbowe agombee tena nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa sasa, ni dhahiri, chini ya Mbowe, role model wa CHADEMA, ni CCM.
Mnyika anatakiwa aulizwe ana haki gani ya kuihoji CCM, Serikali ya CCM, Tume ya Uchaguzi au TAMISEMI kuhusiana na kukata majina ya wagombea kupitia vyama vya upinzani, wakati sekretarieti yake inafanya uchafu huo huo?
KM anaongozwa na mwenyekiti.Ukatili wa Lissu ni upi. Propaganda ni silaha mbaya imayommaliza Lissu. Watawala wanajua kutengeneza siasa za kummaliza adui. Vipi afae kuwa KM lakini asiwe Chairman
Kwamba Dorcas Francis ana vigezo kuliko Rose Mayemba? Haina shida Acha ajaze loyalists kwenye uongozi wake ila matokeo tutayapata huku mashinani. Na baada ya huu uchaguzi chadema haitakua ile tena, itageuka CUF ya lipumba. Imagine Wenje ndio 2nd in command!! Kamati kuu kina Assenga na Naftali aisee I'm done with CHADEMA.Kama sio huyu, ulitaka nani akatwe? Na ni wao peke yao waliokatwa? Huyu angalau anaweza kuteuliwa katika hiyo nafasi lakini wengine ndio imetoka. Alikosea kufanya kampeni katika eneo la usaili. Angeachiwa angeweza kusababisha fujo maana upande wa pili nao ungetaka kufanya kampeni.
Amandla. .
Vipi kamanda umeshatupa taulo?Mbona mapema uchaguzi si kesho?Komaa Kamanda.Kwamba Dorcas Francis ana vigezo kuliko Rose Mayemba? Haina shida Acha ajaze loyalists kwenye uongozi wake ila matokeo tutayapata huku mashinani. Na baada ya huu uchaguzi chadema haitakua ile tena, itageuka CUF ya lipumba. Imagine Wenje ndio 2nd in command!! Kamati kuu kina Assenga na Naftali aisee I'm done with CHADEMA.
RIP Mawazo you died for this crap?
Kwa hiyo ulitaka Dorcas akatwe kwa sababu unamdharau. Mbona Pambalu hajakatwa?Kwamba Dorcas Francis ana vigezo kuliko Rose Mayemba? Haina shida Acha ajaze loyalists kwenye uongozi wake ila matokeo tutayapata huku mashinani. Na baada ya huu uchaguzi chadema haitakua ile tena, itageuka CUF ya lipumba. Imagine Wenje ndio 2nd in command!! Kamati kuu kina Assenga na Naftali aisee I'm done with CHADEMA.
RIP Mawazo you died for this crap?
Aah hopes za kushinda zinazidi kupungua muda unavyozidi yoyoma, usishangae hata Lissu akakatwa kugombea hiyo kesho.Vipi kamanda umeshatupa taulo?Mbona mapema uchaguzi si kesho?Komaa Kamanda.
Lissu ni mchafuzi wa chama!Aah hopes za kushinda zinazidi kupungua muda unavyozidi yoyoma, usishangae hata Lissu akakatwa kugombea hiyo kesho.
Nitaachana na siasa mazima, CCM itawale milele tu.
Rose mayemba ni Mwenyekiti wa chadema wa mkoa kwa miaka zaidi ya 10 sasa. Yaani hana vigezo kuingia kamati kuu ila Pasqualina au Nsaro ambao hatujawahi hata wasikia kwenye struggle za chama ndio wana vigezo? Hivi hao watu wa NGO ndio unawaweka front unaacha proven foot soldier kama Rose?hiyo ulitaka Dorcas akatwe kwa sababu unamdharau. Mbona Pambalu hajakatwa?
wasio na sifa wala vigezo vya kikatiba ni muhimu sana wakaenguliwa,Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi mbalimbali.
Hayo yamefanyika sana hata kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka jana, na CHADEMA ikalalamika sana. Lakini jambo la ajabu ni kuwa CHADEMA hao hao waliokuwa wakilalamikia uchafu huo, chini ya katibu mkuu John Mnyika imefanya uchafu huo huo dhidi ya wagombea wa nafasi za ujumbe wa kamati kuu waliotamka wazi kuwa wanamwunga mkondo Tundu Lisu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Wahanga wa uchafu huo ni dada mpambanaji ROSE MAYEMVA na PAMBALU.
Ikumbukwe kwamba wajumbe wa sekretarieti hiyo ya John Mnyika ni wale wenyeviti wa kanda walioalikwa na Mbowe nyumbani kwake, na kuelekezwa kutoa tamko kuwa wanamtaka Mbowe agombee tena nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa sasa, ni dhahiri, chini ya Mbowe, role model wa CHADEMA, ni CCM.
Mnyika anatakiwa aulizwe ana haki gani ya kuihoji CCM, Serikali ya CCM, Tume ya Uchaguzi au TAMISEMI kuhusiana na kukata majina ya wagombea kupitia vyama vya upinzani, wakati sekretarieti yake inafanya uchafu huo huo?
Unajichanganya. Si nyinyi ndio wenye sera ya kusema kila mtu apate nafasi ya kuongoza. Kwa nini muone Mbowe ame overstay lakini Mayemba kuwa bado anakubalika?Rose mayemba ni Mwenyekiti wa chadema wa mkoa kwa miaka zaidi ya 10 sasa. Yaani hana vigezo kuingia kamati kuu ila Pasqualina au Nsaro ambao hatujawahi hata wasikia kwenye struggle za chama ndio wana vigezo? Hivi hao watu wa NGO ndio unawaweka front unaacha proven foot soldier kama Rose?
Twaha Mwaipaya amekua katibu mwenezi BAVICHA yaani hana vigezo ila Bashir na Nyamatare ndio wana vigezo? Ni ajabu sana unachukua random people unaacha proven leaders.
Ni aibu sana.