Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Habari za jion
Embu leo tuonge ukweli bila unafiki juu ya utendaji kazi sekta binafsi
Mim natoa mkasa wa ukweli kabisa nilikuwa nafanya kazi office fulani hapa Dar, siku moja niliumwa nikasema ngoja niende job mchana nitaomba ruhusa kwenda hospitali. Bhana muda ulipofika nikaomba ruhusa kwa boss akanijibu chagua moja kwenda hospitali au kufanya kazi ukienda ujue kazi basi nikammbembeleza lakini haikufaa nikaamua kwenda hospitali kesho yake nikaenda kazini bhana nilitimuliwa na nikakuta mgeni kakaa sehemu yangu nikaenda kumuomba samahani kesho yake akanipa onyo la mwisho
Kiukweli napenda sana kazi ila unyanyasaji kama huu haufai hata kidogo yaani hii imetokea kwangu lakini kuna wengine wanapitia makubwa zaidi ya hili langu