Sekta binafsi unyanyasaji umezidi

Sekta binafsi unyanyasaji umezidi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habari za jion

Embu leo tuonge ukweli bila unafiki juu ya utendaji kazi sekta binafsi

Mim natoa mkasa wa ukweli kabisa nilikuwa nafanya kazi office fulani hapa Dar, siku moja niliumwa nikasema ngoja niende job mchana nitaomba ruhusa kwenda hospitali. Bhana muda ulipofika nikaomba ruhusa kwa boss akanijibu chagua moja kwenda hospitali au kufanya kazi ukienda ujue kazi basi nikammbembeleza lakini haikufaa nikaamua kwenda hospitali kesho yake nikaenda kazini bhana nilitimuliwa na nikakuta mgeni kakaa sehemu yangu nikaenda kumuomba samahani kesho yake akanipa onyo la mwisho

Kiukweli napenda sana kazi ila unyanyasaji kama huu haufai hata kidogo yaani hii imetokea kwangu lakini kuna wengine wanapitia makubwa zaidi ya hili langu
 
Kule huwez kuona serikali ikifuatilia haya. Mtanyanyaswa na haki zenu hantapewa hii ni kwa sababu mabos na wamiliki wa kampuni hizi ni aidha wanasiasa wenyewe au watu wa karibu na wanasiasa hao. Usitegemee haki hapo
 
na anakwambia nenda popote kaseme dah
 
Vumilia, Vumilia, Vumilia.....kikubwa unalipwa
 
Habari za jion

Embu leo tuonge ukweli bila unafiki juu ya utendaji kazi sekta binafsi

Mim natoa mkasa wa ukweli kabisa nilikuwa nafanya kazi office fulani hapa dar siku moja niliumwa nikasema ngoja niende job mchana nitaomba ruhusa kwenda hospital bhna mda ulipofika nikaomb ruhusa kwa boss akanijibu chagua moja kwenda hospital au kufanya kazi ukienda ujue kazi basi nikammbembeleza lakini haikufa nikaamua kwenda hospital kesho yake nikaenda kazini bhna nilitimuliwa na nikakuta mgeni kaka sehemu yangu nikaenda kumuomb samahani kesh yake akanipa onyo la mwisho

Kiukwel napenda sana kazi hila unyanyasaji kama uhu aufai hata kidogo yaani hii imetokea kwangu lakini kuna wengine wanapitia makubwa zaidi ya hili langu
Kwanini unaumwa siku ya kazi. Acha wenge chapa kazi
 
Habari za jion

Embu leo tuonge ukweli bila unafiki juu ya utendaji kazi sekta binafsi

Mim natoa mkasa wa ukweli kabisa nilikuwa nafanya kazi office fulani hapa Dar, siku moja niliumwa nikasema ngoja niende job mchana nitaomba ruhusa kwenda hospitali. Bhana muda ulipofika nikaomba ruhusa kwa boss akanijibu chagua moja kwenda hospitali au kufanya kazi ukienda ujue kazi basi nikammbembeleza lakini haikufaa nikaamua kwenda hospitali kesho yake nikaenda kazini bhana nilitimuliwa na nikakuta mgeni kakaa sehemu yangu nikaenda kumuomba samahani kesho yake akanipa onyo la mwisho

Kiukweli napenda sana kazi ila unyanyasaji kama huu haufai hata kidogo yaani hii imetokea kwangu lakini kuna wengine wanapitia makubwa zaidi ya hili langu
Pole kwa kujibiwa vibaya, ila na wasiwasi na kazi hiyo yaani unafukuzwa kienyeji kwani hauna mkataba.
Pia tahimini ujuzi wako, yaani kama upo ni kama haupo kazini nalo hilo nii tatizo huna thamani hapo.
 
Inanibidi niwe mpole two kazi zilivyo ngumu kupata na kazi yenyew nilipata kupitia jf na wasamalia wema niny wengine si wachoyo
 
Usinikumbushe machungu nikiambiwa nichague kati ya msiba au kazi 😭 ,nilifukuzwa kazi kisa nimefiwa na babu yangu ambaye ndo amenilea (naweza sema ni kama baba kwangu) alàaaniwe yule ex~boss popote alipo.
 
Usinikumbushe machungu nikiambiwa nichague kati ya msiba au kazi [emoji24] ,nilifukuzwa kazi kisa nimefiwa na babu yangu ambaye ndo amenilea (naweza sema ni kama baba kwangu) alàaaniwe yule ex~boss popote alipo.
Mtu ukimtajia babu, lazima aone Kama unadeka , maybe ungemwambia baba, and maybe kitengo chako hamna mtu wa kumuachia, and maybe ungeweza kwenda hata weekend, hata km ungekuta wamezika wangekuelewa kwenu, ungekuwa still na kazi yako.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom