Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Wameshachukua chao hao mafala. Hawa hata wakiambiwa watudunge sumu ya kutumaliza within few years watatekeleza sababu ni watu selfish kupita maelezo."hivi umeshawahi kuona wapi chanjo inafanyiwa utafiti kwa mwaka mmoja" - dkt molell katika kipindi cha ajenda startv.leo hii anakuambia chanjo ni salama.je tumuelewe molel yupi?