Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Oct 27, 2021 #21 Decodier said: "hivi umeshawahi kuona wapi chanjo inafanyiwa utafiti kwa mwaka mmoja" - dkt molell katika kipindi cha ajenda startv.leo hii anakuambia chanjo ni salama.je tumuelewe molel yupi? Click to expand... Wameshachukua chao hao mafala. Hawa hata wakiambiwa watudunge sumu ya kutumaliza within few years watatekeleza sababu ni watu selfish kupita maelezo.
Decodier said: "hivi umeshawahi kuona wapi chanjo inafanyiwa utafiti kwa mwaka mmoja" - dkt molell katika kipindi cha ajenda startv.leo hii anakuambia chanjo ni salama.je tumuelewe molel yupi? Click to expand... Wameshachukua chao hao mafala. Hawa hata wakiambiwa watudunge sumu ya kutumaliza within few years watatekeleza sababu ni watu selfish kupita maelezo.
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Oct 28, 2021 #22 Katwangilo said: Duh! Hii nchi kumbe ukipata chanche kula kula kula wala usjali..inaudhi sana Click to expand... Tena wala usibakishe
Katwangilo said: Duh! Hii nchi kumbe ukipata chanche kula kula kula wala usjali..inaudhi sana Click to expand... Tena wala usibakishe
C citizensindevelopment18 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 1,636 Reaction score 830 Oct 28, 2021 #23 Earthmover said: Ni kula Mafungu tu kwa kwenda mbele... Click to expand... Oya acha hizo
N Niza doyi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2019 Posts 2,332 Reaction score 2,875 Oct 28, 2021 #24 Waziri mwenyewe muongo. Kamati ya Corona yenyewe waongo. Ije hawa watafti wa copy and paste? Nyie kuleni tu hayo mafungu ya Corona,Ila mujue Mungu siku moja atawahukumu kwa uovu wenu,mko tayari kuangamiza watu kwa kutoa data za uongo.
Waziri mwenyewe muongo. Kamati ya Corona yenyewe waongo. Ije hawa watafti wa copy and paste? Nyie kuleni tu hayo mafungu ya Corona,Ila mujue Mungu siku moja atawahukumu kwa uovu wenu,mko tayari kuangamiza watu kwa kutoa data za uongo.
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Oct 28, 2021 #25 Kwahiyo watu wamechanjwa halafu utafiti ndiyo unafuata! Tunakukumbuka Magufuli.
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Oct 28, 2021 #26 Najua watapika majibu ya huo utafiti ili kuturubuni tulishakubaliana HATUCHANJI!!!!!