powercert_Tz
Member
- Jul 19, 2022
- 45
- 44
Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara ya kwanza.
Mpaka kufikia sasa hospital zote za rufaa za mikoa zinamashine hiyo inayotumika kufanya vipimo vya ndani ya mwili. #mamayukokazini
Mpaka kufikia sasa hospital zote za rufaa za mikoa zinamashine hiyo inayotumika kufanya vipimo vya ndani ya mwili. #mamayukokazini