June 18, 2016
Mombasa, Kenya
Sekta ya Utalii yaanza kushuhudia athari za machafuko ya kisiasa
Wadau wa sekta ya utalii pwani ya Kenya wamelalama kuhusu wanasiasa kusababisha utalii kuzidi kuwa mbaya.
Watalii wamezidi kufuta safari na booking za hoteli walizotegemea kutembelea Kenya kutokana na matukio wanayoona katika vyombo vya habari kuonesha ''joto'' la kisiasa linalozidi kupanda kuelekea uchaguzi 2017.
Watalii hao wametoa Mfano habari na picha ktk mitandao na media za habari kuonesha watu wakiwa wamebeba mawe katika mifuko tayari kuwashambulia mahasimu wa upande wa pili wa kisiasa na maandamano yanayoendana na kushindikiza viongozi wa Tume ya Uchaguzi Kenya kujiuzulu.
TAZAMA/SIKILIZA VIDEO WADAU WAKIZIDI KUSHUTUMU WANASIASA:
Source: qtvkenya