Sekta ya Utalii yaanza kushuhudia athari za machafuko ya kisiasa

Sekta ya Utalii yaanza kushuhudia athari za machafuko ya kisiasa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
June 18, 2016
Mombasa, Kenya

Sekta ya Utalii yaanza kushuhudia athari za machafuko ya kisiasa

Wadau wa sekta ya utalii pwani ya Kenya wamelalama kuhusu wanasiasa kusababisha utalii kuzidi kuwa mbaya.

Watalii wamezidi kufuta safari na booking za hoteli walizotegemea kutembelea Kenya kutokana na matukio wanayoona katika vyombo vya habari kuonesha ''joto'' la kisiasa linalozidi kupanda kuelekea uchaguzi 2017.

Watalii hao wametoa Mfano habari na picha ktk mitandao na media za habari kuonesha watu wakiwa wamebeba mawe katika mifuko tayari kuwashambulia mahasimu wa upande wa pili wa kisiasa na maandamano yanayoendana na kushindikiza viongozi wa Tume ya Uchaguzi Kenya kujiuzulu.

TAZAMA/SIKILIZA VIDEO WADAU WAKIZIDI KUSHUTUMU WANASIASA:

Source: qtvkenya
 
Nabado
Wacha wakazane
Maana wao wanalolijua ni LUO KIKUYU
 
Tanzanians seem to really celebrate a lot when something goes wrong in Kenya.

Nikama yule mtoto hufurahi ndugu yake akichapwa, which is the definition of Inferiority complex ambayo ni someone who feels inferior and derives satisfaction and confidence from the turmoil of others that are deemed better off
 
Hii hali ni ya kujiumiza bure tu.Ni vigumu sana kubadilisha mtu mwenye msimamo huo.
 
Tanzanians seem to really celebrate a lot when something goes wrong in Kenya.

Nikama yule mtoto hufurahi ndugu yake akichapwa, which is the definition of Inferiority complex ambayo ni someone who feels inferior and derives satisfaction and confidence from the turmoil of others that are deemed better off

We are not celebrating. But, we see how imbecile you can be to the extent of not being able to solve your domestic problems without a fight.
 
June 20, 2016
Brussels, Belgium

Rais Kenyatta asisitiza hatakubali machafuko nchini Kenya wakati akiongea na diaspora ya wa-Kenya huko Belgium. Na kutoa hakikisho wa-Kenya wafanye kazi ughaibuni kwa bidii na kuwekeza nyumbani kwa kuwa serikali itasimamia kikamilifu amani na usalama wa taifa la Kenya na kuhakikisha mali zao zinabaki salama.

Source: qtv Kenya
 
Back
Top Bottom