Selasini: Tumemfikisha Mbatia Takukuru kwa kuuza Nyumba 2 za ghorofa na Shamba ekari 45 mali ya NCCR

Selasini: Tumemfikisha Mbatia Takukuru kwa kuuza Nyumba 2 za ghorofa na Shamba ekari 45 mali ya NCCR

na hataondoka atafia humo kwa kuogopa mambo kama hayo.huwezi kuwa mjasiriamali na ukaongoza chama.hapo uje tu ni lazima mali za chama zitakwapuliwa.
Inategemea na level ya ujasiliamali. Machinga ni hatari lakini mjasiriamali kama Dangote atafuja mali ipi kwa mfano. Level ya Mbowe sio machinga, ile level kama yako unajijua ni shida
 
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha kuzichukua yeye binafsi.

Tumekabidhi swala hili Takukuru ili kushughulikiwa kwani lilishahojiwa hata na CAG amesema Mzee Selasini.
Angalia na wewe ukifukuzwa watakufikisha huko huko Takukuru
 
Back
Top Bottom