A
Unataka kutuma laki moja na iliyopo ni elfu tisini kamili. Inakuogema alaf wakat huo elfu tisini ile wanakwanguaSasa unakatwaje pesa na salio lako halitoshi ?
Fafanua vizuri hapo ?
wanakwangua inaenda wapi kwenye muamala kulipokusudiwa au wanachukua waoUnataka kutuma laki moja na iliyopo ni elfu tisini kamili. Inakuogema alaf wakat huo elfu tisini ile wanakwangua
Wewe ulikua unakaa la 7C eeeh?wanakwangua inaenda wapi kwenye muamala kulipokusudiwa au wanachukua wao
hata kama ni la pili c jibu swali....Wewe ulikua unakaa la 7C eeeh?
Mkuu, una uhakika na hicho unachokisemaUnataka kutuma laki moja na iliyopo ni elfu tisini kamili. Inakuogema alaf wakat huo elfu tisini ile wanakwangua
Nimefafanua maelezo ya mtoa mada, au wewe umemuelewaje tuanze na ulichoelewa weweMkuu, una uhakika na hicho unachokisema