JUNIOR GONG
Member
- Jun 29, 2014
- 60
- 28
Wadau.
Naomba mwenye kufahamu anijulishe chuo inaonyesha nimechaguliwa SAUTI, selection status inaonyesha kuwa "SELECTED" lakini confirmation status inaonyesha kuwa "NOT YET" sasa kwenye profile yangu chini inatangazo linalosema "PUBLIC NOTES: SELECTION IN PROGRESS FOR THOSE WHO ARE NOT YET SELECTED.... PLEASE BE PATIENT DURING THIS PROCESS, IT WILL TAKE FEW HOURS" sasa msaada ninaouhitaji kutoka kwenu wadau.
Je uhakika wa kwenda hapo SAUTI upo maana naona muda unakwenda na hili tangazo lipo toka usiku wa kuamkia leo.Mawazo yenu yanahitajika kuweza kusaidiana.