Selected but not yet confirmed

Selected but not yet confirmed

JUNIOR GONG

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
60
Reaction score
28
Wadau.

Naomba mwenye kufahamu anijulishe chuo inaonyesha nimechaguliwa SAUTI, selection status inaonyesha kuwa "SELECTED" lakini confirmation status inaonyesha kuwa "NOT YET" sasa kwenye profile yangu chini inatangazo linalosema "PUBLIC NOTES: SELECTION IN PROGRESS FOR THOSE WHO ARE NOT YET SELECTED.... PLEASE BE PATIENT DURING THIS PROCESS, IT WILL TAKE FEW HOURS" sasa msaada ninaouhitaji kutoka kwenu wadau.

Je uhakika wa kwenda hapo SAUTI upo maana naona muda unakwenda na hili tangazo lipo toka usiku wa kuamkia leo.Mawazo yenu yanahitajika kuweza kusaidiana.
 
nenda website ya tcu, majina yote yako kule!
 
Wadau
naomba mwenye kufahamu anijulishe chuo inaonyesha nimechaguliwa SAUTI, selection status inaonyesha kuwa "SELECTED" lakini confirmation status inaonyesha kuwa "NOT YET" sasa kwenye profile yangu chini inatangazo linalosema "PUBLIC NOTES: SELECTION IN PROGRESS FOR THOSE WHO ARE NOT YET SELECTED.... PLEASE BE PATIENT DURING THIS PROCESS, IT WILL TAKE FEW HOURS" sasa msaada ninaouhitaji kutoka kwenu wadau Je uhakika wa kwenda hapo SAUTI upo maana naona muda unakwenda na hili tangazo lipo toka usiku wa kuamkia leo...... Mawazo yenu yanahitajika kuweza kusaidiana....

uhakika upo na ndo wameanza kucomfame baadhi ya vyuo ikicomfame tu bac ujue powa mf mwenge wamecomfame sio mda so be patient
 
Hii confirmation ya nacte inatutesa sana sasa sijui tutajipanga saa ngap
 
Back
Top Bottom