Selection Kidato 5 utata mtupu

Selection Kidato 5 utata mtupu

Wizara imekufa miaka kumi iliyopita lakini hilo hupaswi kushangaa wizara zote madudu yale yale watu wanaofanya madudu ni wale wale wanahamishwa wizara na ofisi unategemea nini na bado kujikomboa na hili ni kudelete ccm na wadau wake kwenye siasa ya nchi yetu

... Ni kudelete totally
 
Pengine majina yao yanafanana na wasichana ndo mana,waende tamisemi wabadilishiwe shule
 
Pengine majina yao yanafanana na wasichana ndo mana,waende tamisemi wabadilishiwe shule

... Toka ln Joseph akawa Msichana.

... Mbaya zaidi ni kwa Wanafunzi wengi wa shule tofauti tofauti.
 
... Hapo dawa na wao waende wavae sketi tu maana tumechoka hatuna namna nyingine ya kuwasaidiaaaaa.

Hahahaaaaaaaaaa we unataka mabint zetu wakagegedwe nini..
u can't be serious..

Af wizara yenyewe et wamechimba bit hakutakuwa na nafas ya kubadilisha.
poor them.
 
Hiyo ni kawaida sana hakuna kitu kilichokamilika duniani cha msingi wakaripoti shule walizopangiwa wapewe uhamisho
 
Hiyo ni kawaida sana hakuna kitu kilichokamilika duniani cha msingi wakaripoti shule walizopangiwa wapewe uhamisho

.... Wamezidi nao.

Huo usumbufu kwa watoto nani anapashwa kuwajibishwaaaaaa
 
Ila kweli mm na shidwa elewa izi post Nime Fanya vizuri masomo ya sanyansi hasa chemia na bios lakini nime chaguliwa HGK histori nine Fanya vizuri pia ila mpaka walim wananionea huruma kwani kiswahili c kuwa naweza kabisa
mmhhh ni kazi
 
.... Pole mkuu hii ndiyo serikali ya CCM.

.... Cha ajabu kuna wanafunzi wa kiume wamepelekwa shule za wasichana.
 
Back
Top Bottom