dah!m c jui wanatoa ln nmechoka kusubiri. pia et wenye division 3 kuanzia 25-31 .watachaguliwa au hawatachaguliwa?.msaada kwa anaye fahamu juu ya hili.
Iba tukuchome moto na hako ka-form four kakoMwishowe tutaiba vyombo vya watu na vijinguo vilivyoankwa
hata shule tukipangiwa leo lkn kuripoti shule mwez wa sabaWana jf tumechoka kuzunguka nyumban vp n lin hii wizra itatupangia shule?