Selection post lini kidato cha tano 2014 /2015

Selection post lini kidato cha tano 2014 /2015

Rabiel

Senior Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
197
Reaction score
40
Wana jf tumechoka kuzunguka nyumban vp n lin hii wizra itatupangia shule?
 
dah!m c jui wanatoa ln nmechoka kusubiri. pia et wenye division 3 kuanzia 25-31 .watachaguliwa au hawatachaguliwa?.msaada kwa anaye fahamu juu ya hili.
 
dah!m c jui wanatoa ln nmechoka kusubiri. pia et wenye division 3 kuanzia 25-31 .watachaguliwa au hawatachaguliwa?.msaada kwa anaye fahamu juu ya hili.

Hapo inabidi mvute subira kuna huenda wasichaguliwe kwa dalili zilizopo
 
Mwishowe tutaiba vyombo vya watu na vijinguo vilivyoankwa
 
Kwa hakika me natazama tu, jinsi serikali wanache na akili ze2. Sasa kulikuwa maana gani kuweka div 25-30 wakati kuchaguli na huenda labda, truely hii ni fidalsticks
 
dah hapa kizazi cha bongo flever, wanawakilisha mambo ya msingi wanaandika ovyo.
 
Serkali gan hii isiyoenda na wakat
 
Jaman polen sana amjasikia tamko la serikali?
 
Back
Top Bottom