Selection za A-level, wenye credit 2 na D pass 3 kuchukuliwa"

Selection za A-level, wenye credit 2 na D pass 3 kuchukuliwa"

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Jamiiforums!
Hii habari nimeiskia kutoka kwa mmoja wa Head master wa shule moja ya private (Jina kapuni) hapa mkoani Mbeya, Hivyo kutokana na upungufu wa wanafunzi wenye ufahulu wa 4M4 mwaka huu watachukua wanafunzi wenye C mbili na D pass 3 ambapo tofauti na miaka iliyopita ambapo walikuwa wakichukua wanafunzi wenye C tatu na D pass 3.

Sarakasi zimeanza.
 
mbona haiingi akilini hiyo, kwani ili aruhusiwe kufanya mtihani wa A'level kwa mujibu wa taratibu analazimika kuwa na credit tatu sasa hiyo itakuwaje?
 
Hili tulilitegemea sana mkuu, kwani Kuna tofauti kubwa ya ufaulu Kwa mwaka huu kulinganisha na mwaka jana....Kwa takwimu za ni kwamba mwaka jana waliopata division I-III walikuwa takribani 32000 na mwaka waliopata I-III wapo 23000 hivyo ni tofauti ya wanafunzi 9000 Kwa hivyo let them do so mkuu...
 
Linawezekana kuna mtu namfahamu n ndg yangu alienda advance kupiga pcb akiwa na dcc alternative,na n form four ya mwaka 2004 mm nilimaliza 2005 so matoleo hayo n form four ya nyuma yetu linawezekana kabisa hilo
 
mbona haiingi akilini hiyo, kwani ili aruhusiwe kufanya mtihani wa A'level kwa mujibu wa taratibu analazimika kuwa na credit tatu sasa hiyo itakuwaje?

Mkuu mi nadhan swala wa wanafunzi wanaojiunga A-level ni lazima wawe na Credit 3 hizo ni sheria ambazo zinaweza kubadilika either kwa kukuza au kupunguza vigezo ila inategemeana na mahitaji ya wanafunzi kwa kipindi husika.
 
mmhh....!hata sishangai maana next yr watachukua hadi C 1 na D 2 hii ndio selikari ya..........!hahahaha watz power to u!
 
Ni jambo zuri. Ila kwa walio mashuleni, waongeze bidii ya kusoma ili kubadili matokeo ya miaka ijayo.
 
Back
Top Bottom