Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

[emoji23] kuna mzazi kamwambia mwanae akikosa nafasi muhimbili basi akatafute nyumba ya kuishi, nilicheka sn kwa huzuni na kwakushtushwa sn
 
This is great mkuu,tuombe mapenzi ya Mungu maishani mwetu,kuna jambo unaweza kua unalitaka kwa udi na uvumba lkn linakugomea kila ukijaribu ,,,,kumbe Mungu anahitaji ufanye jambo lingine.
 
Kigezo loan board mkuu na ndio maana wanabanana huku,sasa nje ya tz inabidi watafute means nyingine ya pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…