Mzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.
Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.
MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking
MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas
MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas
University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.
Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.
Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.
Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.