itagata JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 210 Reaction score 71 Sep 10, 2012 #1 Habari zenu wana JF Jamani naomba mwenye taarifa zozote kuhusu selection za vyuo vya afya vilivyo chini ya wizara ya afya kama zimetoka, kwani nimetembelea mara nyingi website yao lakini mpaka sasa hayajawekwa. Naombeni msaada wakuu.
Habari zenu wana JF Jamani naomba mwenye taarifa zozote kuhusu selection za vyuo vya afya vilivyo chini ya wizara ya afya kama zimetoka, kwani nimetembelea mara nyingi website yao lakini mpaka sasa hayajawekwa. Naombeni msaada wakuu.
M MAKAH JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,582 Reaction score 267 Sep 11, 2012 #2 hakuna jpya na web yao ia habari za kale kama matangazo ya watu kuomba vyuo. ni muda sasa hakuna feedback ya maombi watu waliyotuma kitambo sana
hakuna jpya na web yao ia habari za kale kama matangazo ya watu kuomba vyuo. ni muda sasa hakuna feedback ya maombi watu waliyotuma kitambo sana