Jamani naomba mwenye taarifa zozote kuhusu selection za vyuo vya afya vilivyo chini ya wizara ya afya kama zimetoka, kwani nimetembelea mara nyingi website yao lakini mpaka sasa hayajawekwa. Naombeni msaada wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.