Selection za vyuo vya Afya

Selection za vyuo vya Afya

itagata

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
210
Reaction score
71
Habari zenu wana JF

Jamani naomba mwenye taarifa zozote kuhusu selection za vyuo vya afya vilivyo chini ya wizara ya afya kama zimetoka, kwani nimetembelea mara nyingi website yao lakini mpaka sasa hayajawekwa. Naombeni msaada wakuu.
 
hakuna jpya na web yao ia habari za kale kama matangazo ya watu kuomba vyuo. ni muda sasa hakuna feedback ya maombi watu waliyotuma kitambo sana
 
Back
Top Bottom