Seleman Kidunda usituangushe, leo mchape Katompa ili kulinda heshima ya Jeshi na nchi

Seleman Kidunda usituangushe, leo mchape Katompa ili kulinda heshima ya Jeshi na nchi

Huyu katompa apewe kiduku tu, heshima inashuka sana kwa hawa wakongo
 
Unaweza kufafanua Kwanini wakati kidunda kapata injury kapigwa kichwa?
Ni ngumi ile iliongia jichoni....kulkua amna sababu muhimu ya kuairisha pambano labda cjui sheria vzur ila kidunda kavimba kidogo sana mbona uwa wanavimba mpaka macho hayaonekan na pambano linaendelea....Itoshe kusema tushukuru kwa hii droo bila ivyo taifa lingeaibika sanaa
IMG_20210822_020325.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
hahaaaa hili li 'congoman' hili ni hatari sana, litafagia mabondia wote wa kibongo,
 
Ni ngumi ile iliongia jichoni....kulkua amna sababu muhimu ya kuairisha pambano labda cjui sheria vzur ila kidunda kavimba kidogo sana mbona uwa wanavimba mpaka macho hayaonekan na pambano linaendelea....Itoshe kusema tushukuru kwa hii droo bila ivyo taifa lingeaibika sanaa View attachment 2058921

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app

Kuna kuvimba kwa ngumi na kuvimba kwa kichwa??

Mjeshi kapigwa kichwa sio ngumi.Ni sahihi kabisa pambano kuwa draw au kuhairishwa.

By the way,km umeona pambano utagundua km lingekuwa limeisha pale tulikuwa tumeshinda.
 
Ni ngumi ile iliongia jichoni....kulkua amna sababu muhimu ya kuairisha pambano labda cjui sheria vzur ila kidunda kavimba kidogo sana mbona uwa wanavimba mpaka macho hayaonekan na pambano linaendelea....Itoshe kusema tushukuru kwa hii droo bila ivyo taifa lingeaibika sanaa View attachment 2058921

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Haikuwa ngumi, na wala haikuwa jikoni. Ulikuwa na usingizi mzee?[emoji1][emoji1], Ila kuhusu pambano kuahirishwa hata mimi sikuona sababu haikuwa injury kubwa kihiivyo
 
Haikuwa ngumi, na wala haikuwa jikoni. Ulikuwa na usingizi mzee?[emoji1][emoji1], Ila kuhusu pambano kuahirishwa hata mimi sikuona sababu haikuwa injury kubwa kihiivyo
Daktali alithibitisha kuwa ile injury isingefaa kuendelea! Katompa angekuwa anapiga hapohapo kwenye kidonda mdogo mdogo!
 
kidunda ana bahati kweli kweli, tena ashukuru uzalendo, yaani pambano lingeendelea kwa raundi zingine2 angetolewa ulingoni kwa msaada wa ambulance...……….
 
kidunda ana bahati kweli kweli, tena ashukuru uzalendo, yaani pambano lingeendelea kwa raundi zingine2 angetolewa ulingoni kwa msaada wa ambulance...……….
Leo ni Leo hakuna kubebwa
 
Katompa yupo vizuri kuliko Kidunda mimi ni MTanzania napenda boxer na nimfuasi wa boxer kuliko hata Football nimemuangalia sana Katompa ni boxer mwenye maarifa sana hakamii ana hold temper vizuri ana organize ubongo wake kwenye kurusha ngumi zake.

KIDUNDA UMRI SIJUI KACHOKA NA MAZOEZI MI HATA SIELEWI.Anyway natamani tulipe kisasi ili ile aibu ya kutoka kwa Abdalah Pazi ifutike.
 
Back
Top Bottom