Seleman Matola kuwa Tena sehemu ya benchi la ufundi la Simba ni kwamba timu ipo palepale

Seleman Matola kuwa Tena sehemu ya benchi la ufundi la Simba ni kwamba timu ipo palepale

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Nimeshituka kuona seleman matola anaendelea kuwa ni sehemu ya benchi la ufundi kama kocha msaidizi. Sina mashaka na uwezo wa matola , Sina wivu naye , ila simba wangehitaji mabadiliko wangebadili kabisa huu mfumo, what so special kwa matola , makocha karibu nane wameondolewa matola akiwa ni sehemu ya benchi,kwani hakuna makocha wengine wazawa ambao wanaoijua Simba vizuri, ambao watakuwa msaada kwa kocha mpya, ukimsikiliza aliye kuwa kocha wa makipa Simba anadai even video analysit wa timu ni MUNGU mtu pale , kile ni kipimo Cha kuwa Kuna shida kwenye timu kuanzia kwenye management hadi kwa wachezaji, kilichotokea kwa kuwaondoa inonga na chama kuwa sehemu ya timu kinahitajika hata kwenye benchi la ufundi , otherwise tunadanganyana, kwa hali hii Kabla ya Christmas huyu kocha wa Simba hatakuwa sehemu ya timu
 
Nimeshituka kuona seleman matola anaendelea kuwa ni sehemu ya benchi la ufundi kama kocha msaidizi. Sina mashaka na uwezo wa matola , Sina wivu naye , ila simba wangehitaji mabadiliko wangebadili kabisa huu mfumo, what so special kwa matola , makocha karibu nane wameondolewa matola akiwa ni sehemu ya benchi,kwani hakuna makocha wengine wazawa ambao wanaujua Simba vizuri
Usiwastue Simba kwa hilo; utakuwa hututendei haki sisi wana-Yanga
 
Sasa kama huna wasiwasi na uwezo wake, na unamkubali na ni Mzawa, tarumbeta yanini?
 
Msimu ujao utakua una ushindani mkubwa sanaa
Napata hisia za Simba kuchukua ubingwa sababu ya laana ya Guede anayoiacha Yanga
Itakuwa Lukasi karoga sana 'Gwede' aachwe Yanga ili aondoke nchini kujipunguzia kompetisheni
 
Simba 5 tena
Yanga bingwa tena
Mama mitano tena
Sisiemu oyee!!
 
Huyo jamaa huwa nikimuona najua Simba hatutoboi. Kama tumefanya maamuzi magumu ya kumuacha Chama, huyu Matola ni wa kazi gani. Simba sijui Kuna Viongozi gani?. Sikio la Kufa. Mnafanya usajili mzuri ila huyo mnafiki mnamuacha hapo.
 
Mimi kinachoniacha hoi! Miaka nenda Matola ni kocha msaidizi tu! Je, hana sifa ya kuwa kocha mkuu!! Kwa nini amechagua maisha ya aina hii!! Bila shaka ni mshahara mnono ndiyo umemvutia.

Ndiyo kusema ameshasahau namna alivyokuwa kocha bora mzawa wakati anaifundisha ya simba B, na baadaye Lipuli ya Iringa! Ila tangu alipokubali jukumu la kuwa kocha msaidizi, kipaji chake kimedumaa kama cha Bakary Shime ambaye naye amelowea kwenye kufundisha timu za wanawake.
 
Back
Top Bottom