Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Uchafuzi, bongo hatukufanya uchaguzi mwaka huu!Uchaguzi ulishakwisha kwa sasa tupo bungeni. Mengine ni porojo akitaka na yeye akaombe ukimbizi MSUMBIJI.
Sera za Mugabe ziliiharibu sana Zimbabwe.Uchaguzi ulishakwisha kwa sasa tupo bungeni. Mengine ni porojo akitaka na yeye akaombe ukimbizi MSUMBIJI.
Wewe kukoment hapa tu hukutumia fedha zako bali za Lumumba,unawezaje kuwa na ujasiri wa kusema unachosema?"Nyie watu wa Rufiji mna matatizo badala mchague Mbunge unachagua Bwege ,Bwege atawasaidia nini badala ya kuleta ubwege maana naona hapa hakuna alichofanya hata kujenga choo tu cha stand kwa pesa za jimbo ameshindwa "by JPM
Unge elewa maana ya free and fair usinge andika huu upupuTunawataka Mawakala wa CHADEMA walioshuhudia watupe hizo Nakala, tuchukue kama sample tuone kama Lissu alishinda mbona tunaandikia mate na wino upo, mfano wa Bwege unaonyesha still JPM aliwin 70/67 .....zingine ni bla bla
Hajasema watamzania na jibu kalitoa kulingana na sheria zilizopo ...Mwandishi mchokozi sana kamuuliza "kwa hiyo watanzania mtafanya nini" dah nasikitika hili swali limekosa jibu
Aliyekuwa mbunge wa Kilwa kusini ndugu Selemani Bungala (Bwege) , amesema kuwa licha ya yeye kukosa Ubunge lakini Uchaguzi uliokuwa na matatizo zaidi ni wa Urais.
Amesema ameshuhudia yeye mwenyewe kwa macho yake katika vituo kadhaa katika jimbo lake ambapo kura halisi alizopata Magufuli zikibadirishwa na kuwekwa figure ambayo siyo halisi.
Amesema aliona kwa macho yake katika kituo kimoja Magufuli akipata kura 70 na Tundu Lissu kura 67 lakini za Magufuli ziliongezwa na kuwa nyingi zaidi ya hizo.
Na kwenye kituo kingine akasema Magufuli aliongezewa kura 150 ambazo siyo halali yake!
Selemani Bungala(Bwege) ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na kituo cha TV cha Kenya.
Kwa habari zaidi, msikilize ndugu Bwege hapa akihojiwa.
Na mungu juuJPM anajua kabisa anaongoza watu ambao walimkataa!Halafu anajichekesha kinafiki,shame!
Lete wewe idadi yako sasa kama kura hazikufika 10M una uwakika gani ? Usikute hata kura hukupiga unabwabwaja tu hapa Jf ! Tatizo lenu ninyi mnafikili kura zinapigwa humu Jf! Chama chenu hakina wapiga kura ,ila kina washabiki uchwara tu kama wewe humu! Uchaguzi umeshakwisha na JPM ndie mshindi!.Hakuna mwenye tatizo na kushindwa, bali unashindwaje hapo ndio issue. Nimesema tena na tena kuwa wapiga kura kwenye uchaguzi huu hawakufika 10m, na katika hao Magufuli hajafikisha kura 5m, hata kama yeye ndio alikuwa mshindi. Hizo kura milioni 12+ ilikuwa ni kuhadaa umma ili kuficha aibu.
Ww hujui chochote na hutakaa ujue chochote, mm nilikuwa msimamizi wa kituo! Najua kilichofanyika!!! Yalikuwa yanatekelezwa maagizo wala sio maamuzi ya wananchi!!,Tunawataka Mawakala wa CHADEMA walioshuhudia watupe hizo Nakala, tuchukue kama sample tuone kama Lissu alishinda mbona tunaandikia mate na wino upo, mfano wa Bwege unaonyesha still JPM aliwin 70/67 .....zingine ni bla bla
Yani kwa Mbowe ilikua lazima wananchi wamtoe ! Hamna chochote alichokifanya HAI !..Yani Chama chenyewe ,Mwenyekiti wao hajaweza kutetea jimbo!,Huo Ushindi wangetolea wap!Sio hoja kivip wewee, mnadai mawakala walifukuzwa , haya waliofanikiwa kushuhudia matokeo kwenye vituo hata kama wapo kumi , watupe nakala tujumlishe tuone kama Lissu alishinda na hyo ndo iwe sample ya matokeo yote , na hapo tutaamin kwel Lissu alishinda kura zikachakachuliwa ...sasa kuongea ongea Tu mara ooh niliona kwenye vituo vingi , mara oooh kimoja JPM 70 Kwa 67 , mara mabegi ya kura sjui , njia sahihi mawakala walikodoa from begining to the end na wakapewa nakala , watupe hayo tuoneee....
Mawakala wapo kimya na ndo Wana data nzuri, Kati ya watu waliosimamia uchaguz most ni walimu , watu ambao wanamhate Sana JPM but na wao wapo kimya cse wanajua JPM kashinda kiuhalali kabisa , ......
Nilikuwa na was was na matokeo ya ubunge wa mbowe , nimeongea na majamaa wa Hai wanadai jamaa kapigwa kiuhalali kabisa .....
Angalieni hzi laana mnazoliombea Taifa zitawarudia , mana mnajua mmeshindwa ila Kwa ukaidi mnatengeneza maneno ...
Katika muktadha huohuo tusione mkimjadili Jpm hapa jukwaani! Maana Kama hakukua na Uchaguzi maana yake hata Rais hamumtambui !hakukuwa na uchaguzi. idadi ya kula kwa jiwe ilikuwa inategemea kiwango cha ukatili cha msimamizi
Sio hoja kivip wewee, mnadai mawakala walifukuzwa , haya waliofanikiwa kushuhudia matokeo kwenye vituo hata kama wapo kumi , watupe nakala tujumlishe tuone kama Lissu alishinda na hyo ndo iwe sample ya matokeo yote , na hapo tutaamin kwel Lissu alishinda kura zikachakachuliwa ...sasa kuongea ongea Tu mara ooh niliona kwenye vituo vingi , mara oooh kimoja JPM 70 Kwa 67 , mara mabegi ya kura sjui , njia sahihi mawakala walikodoa from begining to the end na wakapewa nakala , watupe hayo tuoneee....
Mawakala wapo kimya na ndo Wana data nzuri, Kati ya watu waliosimamia uchaguz most ni walimu , watu ambao wanamhate Sana JPM but na wao wapo kimya cse wanajua JPM kashinda kiuhalali kabisa , ......
Nilikuwa na was was na matokeo ya ubunge wa mbowe , nimeongea na majamaa wa Hai wanadai jamaa kapigwa kiuhalali kabisa .....
Angalieni hzi laana mnazoliombea Taifa zitawarudia , mana mnajua mmeshindwa ila Kwa ukaidi mnatengeneza maneno ...
Rufiji iko Lindi? Hebu acha upumbavu jombaa..."Nyie watu wa Rufiji mna matatizo badala mchague Mbunge unachagua Bwege ,Bwege atawasaidia nini badala ya kuleta ubwege maana naona hapa hakuna alichofanya hata kujenga choo tu cha stand kwa pesa za jimbo ameshindwa "by JPM
Lete wewe idadi yako sasa kama kura hazikufika 10M una uwakika gani ? Usikute hata kura hukupiga unabwabwaja tu hapa Jf ! Tatizo lenu ninyi mnafikili kura zinapigwa humu Jf! Chama chenu hakina wapiga kura ,ila kina washabiki uchwara tu kama wewe humu! Uchaguzi umeshakwisha na JPM ndie mshindi!.
Katika muktadha huohuo tusione mkimjadili Jpm hapa jukwaani! Maana Kama hakukua na Uchaguzi maana yake hata Rais hamumtambui !
MAGUFULI KATANGAZWA RAIS KWA KURA ZA KUBUNI ZA MA DSO NA RSO WALIJAZA KURA ZA MAJUMUISHO BILA HATA KUSUBIRI MASANDUKU YAFIKE MAKAO MAKUU YA WILAYA NA MIKOA AMBAKO HUHAKIKIWA NA KUTUMWA TALLYING CENTRE MAKAO MAKUU YA TUME .......NDIO MAANA MAJUMUISHO YA KURA YAMEKAMILIKA JUZI TAREHE 8/11Hicho unachosema siyo hoja! , kwa sababu zilizoongezwa zimempa Magufuli overall advantage kwenye kura zote za majumuisho nchi nzima.