Uchaguzi 2020 Selemani Bungala (Bwege) asema Magufuli hakushinda kihalali. Atolea mfano wa aliyoshuhudia katika vituo viwili jimboni kwake

Hujui ulisemalo, wakati mwingine kukaa kimya ni busara pia.
 
Huu mchezo wa kupora chaguzi waliufanya kwenye chaguzi za marudio huko Kinondoni, Siha na Ukonga, Kisha wakafanya kwenye serikali za mitaa bila aibu, na kisha wakafanya kwenye uchaguzi mkuu!.

Halafu wakitoka hapo wanajifanya kumtaja Mungu, eti tuwaombee, tuwaombee nini wakati nyie siyo watu wa haki?
 
Ukiambiwa matokea halisi CCM walivyopigwa huwezi amini ,mwakahuu waligarazwa CCM , mpaka aibu ,Arusha Chadema ubunge viti walivyoshinda ni vitano , Tabora Chadema viti vinne .
 
Ukiambiwa matokea halisi CCM walivyopigwa huwezi amini ,mwakahuu waligarazwa CCM , mpaka aibu ,Arusha Chadema ubunge viti walivyoshinda ni vitano , Tabora Chadema viti vinne .
 
Kwani principle ya uchaguzi inasema lazima ujipigie kura????
 
Kama kulikuwa na uhakika wa ushindi, kwanini hawakufanya zoezi la kuhesabu kura kuwa la wazi kama ilivyokuwa kwenye kura za maoni? Kwanini walizuia baadhi ya mawakala wa upande mmoja?
 
Huyo kweli ni Bwege!
 
Kama kulikuwa na uhakika wa ushindi, kwanini hawakufanya zoezi la kuhesabu kura kuwa la wazi kama ilivyokuwa kwenye kura za maoni? Kwanini walizuia baadhi ya mawakala wa upande mmoja?
Mawakala wapi walizuiwa wewe? Mawakala wengi wa upinzani waliondoka vituoni baada ya kutolipwa posho na vyama vya upinzani.
 
Ww hujui chochote na hutakaa ujue chochote, mm nilikuwa msimamizi wa kituo! Najua kilichofanyika!!! Yalikuwa yanatekelezwa maagizo wala sio maamuzi ya wananchi!!,
Kiujumla uchaguzi huu ulikuwa wa hovyo sana
Alisikika mjumbe mmoja kura za maoni moshi akiwambia wajumbe aweka pazia mlima kilimanjaro,na kuwataka wajumbe wacheke kwa pamoja hahaaaaaaaa,
Sasa tunaanza pata shuhuda ,
 
Sawa kwa hiyo tundu kapata kura halali lakini magufuli alitakiwa kupata kula milioni tatu sio? Maana alimzidi tundu kwa uchache.
Basi bungara achukue kura milioni 4 aongeze kwa tundu bado magu atashinda tu.
 
Hata viongozi waliongia kwa kupindua nchi huwa ni viongozi. Narudia tena, waliopiga kura hawakufika 10m, hilo sikulazimishi uamini, lakini habari ndio hiyo.
Kwani takwimu za TUME zinasemaje kuhusu idadi ya raia waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura? je, kati ya hao ni asilimia ngapi walipiga kura, labda tuanzie hapo.
 
Hana lolote huyo ni loser. Nyie wakenya mnafikiri ndio mna demokrasia nzuri wakati mlichonacho ni ufisadi na ukabila tu. Acheni kuingilia mambo ya tanzania kuchagisha sauti za upinzani wakati wananchi wamewafagia.
 
Labda wananchi unaowasema ni NEC, TISS na Polisi!
Lakini siye akina Kabwela hatukupewa nafasi ya kura zetu kuheshimiwa!
 
Kwani takwimu za TUME zinasemaje kuhusu idadi ya raia waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura? je, kati ya hao ni asilimia ngapi walipiga kura, labda tuanzie hapo.
Utajuaje wakati matokeo ya kura yaliyosomwa ni figure tu zilizoandikwa kwenye makaratasi. Kura zingehesabiwa kwa mujibu wa sheria ilipaswa zihesabiwe na matokeo yabandikwe vituoni, Vituo vingapi vilihesabu kura na majumuisho kuwekwa kila kituo?-Waliogopa wangefanya hivyo ingekuwa ngumu kujipa kura wanazozitaka, au hata kama walishapanga kupiga magumashi hawakuwa na uhakika kama hilo lingefanikiwa vizuri kwa ngazi ya vituo, wakaona wavunje sheria kura zipelekwe majimboni na huko wakaandike figure wanazizitaka wao.
Ndiyo maana Kuhesabu kura kuliwachukua masaa 36 tu kitu ambacho hakiwezekani kwa ukubwa wa nchi yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…