Atabaki hapo hapo mpaka 2025 ndio atakuja kuwa Waziri mkuu. Rais BashiruWaziri mkuu 2020 Majaliwa. Jaffo atakuwa waziri mambo ya ndani, au miundombinu.
Tuwape WALOKOLE nao waongoze, tulianza na mkatoliki, akaja muislamu, akaja mkatoliki , akaja muislamu sasa ni MLOKOLEKuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
Usilolijua Siku zote ni sawa na Usiku wa Giza.
Huyu anagombea ubunge kupitia jimbo gani mkuu?Mumemsahau vipi Mhe Makongoro Nyerere! Anafaa kuwa waziri Mkuu 2020.
Wazaramo tutawakoma kama tunavyo wakoma wasukuma
Wasi wasi wangu ni kurudisha ile ngoma za mdundiko mitaaniNa kile kigugumizi anaongea kama anakula akae Tamisemi tu
Kulikua na stori ya Paul Makonda kufit hizi sehemu mbili na kwa muda tajwa. Kwahiyo zile stori za Paul Makonda ndiyo zimefia hapa kwenye hii stori yako?
Nimegundua huna akili na nishakujua hivyo hunisumbui hata
Mumemsahau vipi Mhe Makongoro Nyerere! Anafaa kuwa waziri Mkuu 2020.
Kulikua na stori ya Paul Makonda kufit hizi sehemu mbili na kwa muda tajwa. Kwahiyo zile stori za Paul Makonda ndiyo zimefia hapa kwenye hii stori yako?
Yule tatizo afyaMSISHANGAE , ANNA MGWIRA ANAKUWA PREMIER 2020 , AU KA UNA BISHA NJOO INBOX NIKUPE VIDEO CLIPS .
Hafai....aliiiba kura uchaguzi wa serikali za mitaaKuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Jaffo Hana presidential charisma Hana hio kituJaffo amekosa ubunifu, post zote hizo mbili hazitaki watu wa kupelekeshwapelekeshwa Kama huyu mzee wa nyungu.
Huyu ajiandae tu kuwa naibu wa Waziri