Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Hawezi kuomba ubunge wa ruangwa alafu akawa mbunge wa kawaida

Kwani alipouomba Ubunge wake mwaka 2015 Kassim Majaliwa alikuwa anajua kuwa atakuja kuwa Waziri Mkuu? Akili zako ziko sawa sawa Ndugu?
 
Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Tuwape WALOKOLE nao waongoze, tulianza na mkatoliki, akaja muislamu, akaja mkatoliki , akaja muislamu sasa ni MLOKOLE
 
Majaliwa ni mtu makini sana ila labda kitakacho mponza kutoka kwa yesu ni lile sakata la koroshow
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
 
Kulikua na stori ya Paul Makonda kufit hizi sehemu mbili na kwa muda tajwa. Kwahiyo zile stori za Paul Makonda ndiyo zimefia hapa kwenye hii stori yako?

Naendelea tena Kusisitiza kuwa Jaffo achague ama awe Premier 2020 - 2025 au aandaliwe rasmi kuja kuwa President kwa 2025 - 2035 nimemaliza.
 
Makonda hana sifa ya kuwa ngazi ya uwaziri
Kulikua na stori ya Paul Makonda kufit hizi sehemu mbili na kwa muda tajwa. Kwahiyo zile stori za Paul Makonda ndiyo zimefia hapa kwenye hii stori yako?
 
Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Hafai....aliiiba kura uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Jaffo amekosa ubunifu, post zote hizo mbili hazitaki watu wa kupelekeshwapelekeshwa Kama huyu mzee wa nyungu.
Huyu ajiandae tu kuwa naibu wa Waziri
Jaffo Hana presidential charisma Hana hio kitu

CCM Kuna watu kibao wako vizuri

How comes Jafo over Hussein Mwinyi and January Makamba ,how comes?[emoji44] Big Mistake

CCM tulie this time leteni mtu aliepikwa from the beginning msitulee mtu aliibuka juu kwa juu kiss dini inambeba tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom