Huu sio ukweli.Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Kama Leo unashangaa akina Jaffo wenye hivyo Vigugumizi mbona huulizi kwanini Mungu huyu huyu amewaumba Vilema wengine wengi? Swine!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣First Ladies wanne. Kila mtu akitaka kuwa na office yake NGO yake. Tutacreate ajira.
Sawa atujengee uwanja mkubwa wa mpira na wa ndegeKuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Kwahiyo Kwako Wewe Vilema waumbwa na Shetani? Kuna Watu hapa Jamvini ni Majuha hadi ninashangaa kwanini CORONA haikuwachukueni tu.
Wewe akili ndogo sana, Mungu ni wema, upendo, uzuri, uaminifu, utimilifu na ukamilifu nk--- kwa hizo sifa HAIWEZEKANI Mungu aumbe kitu chenye kasoro, kasoro zikitokea basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kutakuwa na "mkono" ukiopingana na mpango wa Mungu ndipo kasoro ikatokea.
Mfano, Kama baba au mama ni walevi au wametumia kitu kibaya na hicho kitu kikaenda kuathiri mimba ya mama matokeo mtoto akazaliwa na mapungufu kama ulemavu nk, (congenital abnormalities),--- sasa kwa ulemavu huo utasemaje Mungu anahusika???!;, pombe, Bangi, mirungi, madawa ya kulevya mtumie nyinyi mzae mtoto tahaira halafu Mumsingizie Mungu??!!.
Yapo Magonjwa mengine sio ya kujitakia bali ni bahati mbaya tu nayo hatuwezi kumsingizia Mungu bali Mazingira au bahati mbaya au uzembe wa mwanadamu.
Kumbuka Mungu ni PERFECTION and all that He creates bear the perfection.
Wewe Mungu hakukua na Corona ili upate hii elimu.
Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Huu mwandiko wa mkuu wa mapopoma GENTAMYCINE , cleverbright ,Vipi unataka ninywe ili nishibe kabisa kisha unizawadie hicho Kinyiriko chako Ndugu au?
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
Hapa mzee nadhani ni ndoto ya mchana. wenzako wanaota usiku.Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika headline yangu hapa.
Duuh . . . Majaliwa hatarudi kuwa waziri mkuu?Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
Huyo labda awe rais wa uzaramuniKuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika headline yangu hapa.