Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Ameshawahi kusifiwa na wakubwa wote hadharani kama ummy mwalimu? Tujiandae kuwa na waziri mkuu mwanamke mwaka huu!
 
Huwezi kuwa lundo la mawaziri wakuu wastaafu uncessarily. Majaliwa is there up to 2025

Kwani kuna Dhambi yoyote au Kosa lolote lile kwa nchi kuwa na Lundu au Msururu wa Mawaziri Wakuu Wastaafu? Ubongo wako uko sawa sawa?
 
Kama Leo unashangaa akina Jaffo wenye hivyo Vigugumizi mbona huulizi kwanini Mungu huyu huyu amewaumba Vilema wengine wengi? Swine!!

Mungu ni Muumba vilema??--- Wild boar.
 
Mungu ni Muumba vilema??--- Wild boar.

Kwahiyo Kwako Wewe Vilema waumbwa na Shetani? Kuna Watu hapa Jamvini ni Majuha hadi ninashangaa kwanini CORONA haikuwachukueni tu.
 
Sababu zile zile zilizomfanya BM kumrudia Sumaye na JK kumrudia Pinda ndio hizo hizo zitamfanya JPM kumrudia Majaliwa. Hata kama hapendi itabidi alinywe tu. That position is overcrowded kwa ground.
 
Kuna watu wao huangalia mteule na mteuliwa. Hawaangalii mama Tanzania.
 
Kwahiyo Kwako Wewe Vilema waumbwa na Shetani? Kuna Watu hapa Jamvini ni Majuha hadi ninashangaa kwanini CORONA haikuwachukueni tu.

Wewe akili ndogo sana, Mungu ni wema, upendo, uzuri, uaminifu, utimilifu na ukamilifu nk--- kwa hizo sifa HAIWEZEKANI Mungu aumbe kitu chenye kasoro, kasoro zikitokea basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kutakuwa na "mkono" ukiopingana na mpango wa Mungu ndipo kasoro ikatokea.

Mfano, Kama baba au mama ni walevi au wametumia kitu kibaya na hicho kitu kikaenda kuathiri mimba ya mama matokeo mtoto akazaliwa na mapungufu kama ulemavu nk, (congenital abnormalities),--- sasa kwa ulemavu huo utasemaje Mungu anahusika???!;, pombe, Bangi, mirungi, madawa ya kulevya mtumie nyinyi mzae mtoto tahaira halafu Mumsingizie Mungu??!!.

Yapo Magonjwa mengine sio ya kujitakia bali ni bahati mbaya tu nayo hatuwezi kumsingizia Mungu bali Mazingira au bahati mbaya au uzembe wa mwanadamu.

Kumbuka Mungu ni PERFECTION and all that He creates bear the perfection.

Wewe Mungu hakukua na Corona ili upate hii elimu.
 
Story za vijiwe vya Gahawa, kwani kassim ameisha pewa cheo cha waziri Mkuu mstafu ?
 
Kila Siku tunaambiwa na hadi Kuimbiwa kuwa Vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana vimeumbwa nae Mwenyezi Mungu. Na kama haitoshi pia hapo hapo huwa tunaambiwa kuwa Binadamu wote ( sote ) tumeumbwa kwa Mfano wake. Sasa nakuuliza Swali Wewe Mpumbavu hawa Vilema au Binadamu wenye Mapungufu mbalimbali wameumbwa na nani? Na je, unaujua Mpango wa Mwenyezi Mungu katika Kuwaumba Wanadamu huku wakiwa na huo Utofauti? Wakati nikiendelea Kuushuhudia huu Upumbavu wako nakuomba pia uniambie wale Mbilikomo ( Eskimo ) ambao Kibinadamu kwa ule Muonekano wao ni Ulemavu tosha nao Wameumbwa na nani? Huwa napenda mno Kukutana na Wapumbavu wa mfano wako hapa Jamvini. Mwisho nakupa Kazi ( Assignment ) kasome vyema Biblia yako kisha utakuta kulikuwa na Walemavu kadhaa huko na ambao Mungu huyu huyu ambaye Mpumbavu Mmoja Wewe unasema hakuwahi na hakuumba Vilema kumbe alishawaumba wengi tu huko na aliwaumba hao kwa mfano Maalum ambao pia unaweza hata Kuukuta katika Vidole vyetu Wanadamu ambavyo ni Vitano lakini vyote havilingani.
 
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.

Hizi ni ramli za kigiriki. Tuache mambo yaende yanavyoenda. What we need is a strong leader in the position of Prime Minister
 
Hapa Tanzania sio rahisi kubadilisha Waziri Mkuu bila kuwa na hoja ya Ushawishi kwa Wananchi
 
Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika headline yangu hapa.
Hapa mzee nadhani ni ndoto ya mchana. wenzako wanaota usiku.
 
Back
Top Bottom