Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
huenda hata hujui maana ya self love unaleta nidhamu ya wogaKampeni za ushoga kampeni za kikuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huenda hata hujui maana ya self love unaleta nidhamu ya wogaKampeni za ushoga kampeni za kikuda
kumbeeeeeeeeeee!Ngoja wazee wa kujichua waje kutujuza
tuambie basi self love maanake nini bro!?Nyie wa self love ndo mnaishiaga kununua madildo!!
Hamna wazimu wa hivo !!
Daaa😍 imenijengaNI hali kujijali, kujipenda na kujifanyia mambo ambayo ni mazuri kwako. Kama kuenda maramara kujua afya yangu, kujitoa out mara moja moja, kuenda saluni, kuenda sehemu za massage. Nikufanya kitu roho inapenda.
Kwa kiswahili fasaha ni nini, kiukweli sifahamu naelwa maana yake.
KIRUDaaa😍 imenijenga
Wanasema wataalam pu.nye.t0 ni self loveHaya jamani,
Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.
Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
Weee vibaya hivoooo smart hizo raha tupate wote buana😁🤠!
Nyeto ni kujipenda mwenyewe.Uweee
Nyeto ndio nini
Weka picha tuone
Ni kujipenda tu mkuuila bado hujajibu
self love ni nini?
Ofcoz you and I tunapeana raha na siyo karaha..Weee vibaya hivoooo smart hizo raha tupate wote buana😁🤠!
Maisha yenyewe mafupi love ni raha utamu tu🕺Ofcoz you and I tunapeana raha na siyo karaha..
Kwa kiswahili tuanaweza kusema ni kujipenda mwenyewe ila katika jicho la kisaikolojia ni msemo wa kujipa furaha ya uongo baada ya kupigwa na kitu kizito kwenye mahusianoHaya jamani,
Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.
Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
AiseeWanasema wataalam pu.nye.t0 ni self love
Weee vibaya hivoooo smart hizo raha tupate wote buana😁🤠!
Msharudiana au?
Nani kasema?Nyeto ni kujipenda mwenyewe.
Mapenzi hayana picha🤣🤣🤣
Saikolojia ya wapi hii jamanKwa kiswahili tuanaweza kusema ni kujipenda mwenyewe ila katika jicho la kisaikolojia ni msemo wa kujipa furaha ya uongo baada ya kupigwa na kitu kizito kwenye mahusiano
UweeeJipende... Jipriotize... Jikubali.
Mfano:
Mwanamke kakupiga kizinga cha 50k aende saloon, kabla ya kumpa, kwann 50k usiende wewe saloon 5k, ukanunua kadeti 20k ukajitoa kula out wewe iliobaki.
😀😀😀😀 ninavyowajua wakina dada wa jf hapa utasakamwa sanaJipende... Jipriotize... Jikubali.
Mfano:
Mwanamke kakupiga kizinga cha 50k aende saloon, kabla ya kumpa, kwann 50k usiende wewe saloon 5k, ukanunua kadeti 20k ukajitoa kula out wewe iliobaki.