Self love ndio nini?

Self love ndio nini?

NI hali kujijali, kujipenda na kujifanyia mambo ambayo ni mazuri kwako. Kama kuenda maramara kujua afya yangu, kujitoa out mara moja moja, kuenda saluni, kuenda sehemu za massage. Nikufanya kitu roho inapenda.

Kwa kiswahili fasaha ni nini, kiukweli sifahamu naelwa maana yake.
Daaa😍 imenijenga
 
Haya jamani,

Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.

Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
Kwa kiswahili tuanaweza kusema ni kujipenda mwenyewe ila katika jicho la kisaikolojia ni msemo wa kujipa furaha ya uongo baada ya kupigwa na kitu kizito kwenye mahusiano
 
Jipende... Jipriotize... Jikubali.

Mfano:

Mwanamke kakupiga kizinga cha 50k aende saloon, kabla ya kumpa, kwann 50k usiende wewe saloon 5k, ukanunua kadeti 20k ukajitoa kula out wewe iliobaki.
 
Kwa kiswahili tuanaweza kusema ni kujipenda mwenyewe ila katika jicho la kisaikolojia ni msemo wa kujipa furaha ya uongo baada ya kupigwa na kitu kizito kwenye mahusiano
Saikolojia ya wapi hii jaman
Mbona mnadanganya?
 
Jipende... Jipriotize... Jikubali.

Mfano:

Mwanamke kakupiga kizinga cha 50k aende saloon, kabla ya kumpa, kwann 50k usiende wewe saloon 5k, ukanunua kadeti 20k ukajitoa kula out wewe iliobaki.
Uweee
Kwahiyo uko na makasiriko sio?
 
Jipende... Jipriotize... Jikubali.

Mfano:

Mwanamke kakupiga kizinga cha 50k aende saloon, kabla ya kumpa, kwann 50k usiende wewe saloon 5k, ukanunua kadeti 20k ukajitoa kula out wewe iliobaki.
😀😀😀😀 ninavyowajua wakina dada wa jf hapa utasakamwa sana
 
Back
Top Bottom