meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Hahaha daah nimejikuta tu nacheka. Msitutenge wa mikoaniKaa hukohuko kwenye mapori yenu mkoani...!
Janja hiyo ya kutaka kupata picha ya daraja la kigamboni.
Mkae huko huko...! Mumetutusi mno...! Sasa hivi tutaweka beria in lets zote mnafanyiwa interview.. Mnachafua kiswahili chetu hapa mjini.Hahaha daah nimejikuta tu nacheka. Msitutenge wa mikoani
Upo mkoa gani babiiii nije nikutembelee, mi mwenyewe wa mkoaniHahaha daah nimejikuta tu nacheka. Msitutenge wa mikoani
Nipo njinjo mwayaUpo mkoa gani babiiii nije nikutembelee, mi mwenyewe wa mkoani
Wap bebiii jaman, nimekupenda bure ati, nijibu fastaNipo njinjo mwaya
Tembeleaneni huko huko...Upo mkoa gani babiiii nije nikutembelee, mi mwenyewe wa mkoani
Hivi jinsia yako huwa inabadilika badilika eti?Ndo wa
Wap bebiii jaman, nimekupenda bure ati, nijibu fasta
Leo Una hasira Sana, umelala Na njaa nini?? Au ramani hazisomi?Tembeleaneni huko huko...
Jaman, kwani nimetuma Picha hapa bebiii ? Au nimekosea wap?Hivi jinsia yako huwa inabadilika badilika eti?
Dar kwa kidume kulala njaa jambo dogo mno halituzingui, hapa nikusaka pesa mpaka zipatikane, nyie endeleni na shamba maana ndiyo shibe yenu.Leo Una hasira Sana, umelala Na njaa nini?? Au ramani hazisomi?
Kwa hiyo huko mjini nyie mnakula mavi sio? Na sisi tunakula vya kutoka shamani, kalagabahoooDar kwa kidume kulala njaa jambo dogo mno halituzingui, hapa nikusaka pesa mpaka zipatikane, nyie endeleni na shamba maana ndiyo shibe yenu.
Mchini shule na chichiniba shamba na jembe.
haha nimejikuta nashangaa tu!Hivi jinsia yako huwa inabadilika badilika eti?