Selfie at Kigamboni bridge!!

Selfie at Kigamboni bridge!!

Mkae huko huko...! Mumetutusi mno...! Sasa hivi tutaweka beria in lets zote mnafanyiwa interview.. Mnachafua kiswahili chetu hapa mjini.
Ulizaliwa posta nini nani kakuambia mTz amalimit ya kutembea wewe mwenyew umetokea kijijini
 
Photo hizo za kigamboni
1460971305860.jpg
1460971319420.jpg
1460971343490.jpg
1460971369121.jpg
1460971394890.jpg
1460971423480.jpg
1460971460250.jpg
1460971556400.jpg
 
hivi jaman lile daraja lipo kigambon au kurasini na kama lipo kurasin kwann waseme daraja la kigambon...

changa la macho ilo na mjomba wetu JK kusoma amjui na picha auioni au???
 
Back
Top Bottom