Selfie at Kigamboni bridge!!

Selfie at Kigamboni bridge!!

Yan kesho asubui na mapema nakula selfie moja af natumia dem wangu huko mburu namwambia nmefata mzigo nombay, na hiz hata muda wakuangalia tv hana
Shemejiiiiiiiiii
 
ukija huku mjini kumbuka kutuletea kuku, mchele,mihogo na karanga kama zipo!
Pia usisahau kunchukulia kisanvu pale jirani kwenu kwa yule mama muuza gongo!
Aaah Tuma tu hela mapema nikununulie, vyote vipo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wadau habari zenu...kwenye thread hii natarajia kupokea picha za daraja la kigamboni kwa mtindo wa selfie!

Najiandaa kuelekea bongo na kupjipitisha darajani Kigamboni na kupiga picha 'selfie' ya ukumbusho.
Jana nilipita huko, niliona magari mengi yameegeshwa pembeni wanapiga selfie!
 
Mkae huko huko...! Mumetutusi mno...! Sasa hivi tutaweka beria in lets zote mnafanyiwa interview.. Mnachafua kiswahili chetu hapa mjini.
Wanakujaga na viroba vya mahindi mjini,after two weeks nao wanajiona wajanja.
 
Hivi hilo daraja la kigamboni limejengwa kuvuka mto gani? Mi mgeni.
 
Hivi bado mkuu wa wilaya ya nanihii, mheshimiwa "Twanga fotoo" hajapiga selfie pale?😀
Nimepewa taarifa mida hii,yupo njiani toka iringa mjini kushiriki uzinduzi kesho jumanne.
Nimehakikishiwa na mnyetishaji wangu kuwa mkuu wa wilaya amejipanga barabara kupiga picha/selfie za kutosha.
 
Back
Top Bottom