Selfie at Kigamboni bridge!!

Ndo umeamua kunizunguka bebiii , haina mbaya.

Hapo kwenye blue wewe, hivi wewe ni KE au ME mbona mkanganyiko, huwa unajifanyaga mwanamke siku zote,leo uzalendo umekushinda, kuna thread ulijifanyaga hutaki tena wanaume ukasema kuna dawa unapigwa hupatwi na nyege.. Wewe ni wakuangaliwa sana kuna jambo nyuma ya pazia...
 
Kausha mzee
 
Kaa hukohuko kwenye mapori yenu mkoani...!
Janja hiyo ya kutaka kupata picha ya daraja la kigamboni.

Kila siku mnajifanya dalisalaam siyo issue everything wanaume wadalisalaam kaa hukohuko...
Bila michango yetu huku migodi ya dhahabu NSSF wangepata wapi hela?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Bila michango yetu huku migodi ya dhahabu NSSF wangepata wapi hela?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Pole sana! Sijujua km inawauma na nyie mkisemwa maana juzi kati tuu mumeshabulia sana nyie wati wa mashambani.

Nia yangu nilitaka kuona km kweli mnachukia kuja dsm, maana kila siku mabasi yanakuja top huku mjini afu mnaponda dalisalaam.
 
Wadau habari zenu...kwenye thread hii natarajia kupokea picha za daraja la kigamboni kwa mtindo wa selfie!

Najiandaa kuelekea bongo na kupjipitisha darajani Kigamboni na kupiga picha 'selfie' ya ukumbusho.
Mkuu siku mbili sasa bado tuu hujafika dar!!..unakuja na baiskeli nini??[emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…