Selfie marufuku

Selfie marufuku

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
"Naomba pia muache mambo ya kupigapiga picha (Selfie) unasema ndio naenda sasa kufanya kazi, mnaona sasa nipo kwenye gari najiandaa, hayo mambo yamepitwa na wakati, ukifanya kazi utaonekana tu, sio kuwa bize kwenye mitandao” - Magufuli.

1.jpg
2.jpg
3.jpg
 
kuwa ofisi nzuri au mbaya sio maajabu maana hiyo sio ofisi yake? Hakuna alisema ofisi ni mbaya , hapa tupo na kauli yake ya kijinga kuwa hapendi viongozi kupiga mapicha kuweka mitandaoni.
wewe si ndio umepost picha hapo juu!!!.au umesahau?

kweli mnamchukia jamaa aisee[emoji2][emoji2][emoji2].
 
Angekuwa mtu wa kuwaachia wengine mngesema linakula raha hili jamaa.

Binadamu hatuna hili....let him be.
walimwengu wana shida sana,wanachofanya ni kutafuta wa kumtwisha lawama ili wapate ahueni[emoji2][emoji2].

ni hawa hawa waliomponda makonda rc kuwa na ofisi nzuri,hawa hawa juzi wakamsifu mkurugenzi kununua gari la 400mln[emoji23],kisa tu magu kamtumbua.
 
Back
Top Bottom