Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ boda anaweza bamizwa,, madogo wa chuga jau sanaaa


Eti ananiambia D muulize akakwambie kwann amekipeleka nje, Kwani mm sina ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ mtu namgharamikia kila kitu โ€ฆ

Nikamwambia relax
Then exhale
Bla bla kibao hapo kati, jamaa akapoa kidogo.. hadi huruma ๐Ÿ™Œ akakaa chini
Akanambia nimekuelewa, nenda na Samahani kwa usumbufu
Nikasepa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hii sauti kuna nyakati me mwenyewe siielewi๐Ÿ™Œ
Kuna siku mama alinambia kaza sauti ukiongea na mm ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
20220831_172725.jpg
 
Back
Top Bottom