Yaani ndo mimi anaebisha na aje
Hii kauli imenichekesha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ndo mimi anaebisha na aje
NawasubiriaNgoja wataalam wa picha waje waitathimini
Ndiwooo dada
Kakubali haraka sana jamani!!
Tumepata cha kujibia yani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani mimi nimecheka sana na maelezo juu kuwa anayo mawili tena ya ngozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Being me
Sawa ukipost usisahau kunitagSoon utaiona dear[emoji1]
Hawatubabaishi tena yaani tunatembea vifua mbele ahsanteni kutuwakilisha
Wala sichezi mbaliSubiria hapo hapo
View attachment 1218902
Mkaigugo sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nimeomba moja, kasema ako nazo mbili yaani hajabisha hata kidogo
Kama kweli vileeeWala sichezi mbali
Hhahah ngoja tusubiri wanaoverify tujue mbovu na mbivuI told you
Unanichukua maelezo [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Basi fanya mpango kwa Mods wakubadilishie jina sababu Effects ni nyingi
Kwa wanao ona at the same time wanahusisha mioyo yao wakija PM
First Expectation is about your unimaginable Beauty and this cute inside you
And we can’t blame them a name says it All
[emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji1550][emoji3603][emoji23]