Ni sahihiMwanaume lazima awe mweusi, safi sana.
Ulikuja kwa ID ile ingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulishaniona huko?
Niweke nini kalumanzila?Weka tena..!!!
Tupo pamojaPouwa kaka
Usijali dear...Nilitoka kidogo.
Nitaiweka.
Hapa nimefungua tuu nikakutana na commet ya "wanaume kamili".
Safi kabisa
Ni mwendo wa kujigawia tuuNilichogundua ni kwamba humu ndani warembo wapo wengi sana.
Hahahaa hii picha haijachorwa japokua kuna wachoraji wanaustadi wakuchora ikatoka picha kali kuliko canonOohh sawa basi nikataka niseme jamani kuna watu wanajua kuchora hadi wamepeeteeleezer
hebu nitumie sms mtoto mzuriUlikuja kwa ID ile ingine
Nimeona zote ila nimeipenda ya Scorpio na sio leo tu, jana usiku nilipoingia uzi niliisifia. Ni kosa kusema nimependa picha yake?
Kweli kabisaNi mwendo wa kujigawia tuu
Ile ya mzungu aliye kwenye gari?Uzi unakimbia huu hatari, ila picha hamna cute b bado nasubiri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watasema tumeona wivu eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi viatu vyote umevaa leo?
Ndio.Ile ya mzungu aliye kwenye gari?
Ngoja niitafute niipost tena.