Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wengi wameogopa kujadiliana nae huu ujinga wake kwa kuhofia kuambiwa wanaona wivu

Picha ni kali lakini kulinganisha mguu ni viwiliwili vyote humu nakataa mpaka kesho anaesema naona wivu atajiju,
Watoto wa shule wanasemaga wamemsungu πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila kaelewa somo nadhani, siku nyingine atacomment kwa akili
 
Hujaponda, shida inaanzia alianza sifia yule mkaka akaponda za wengine, weww ukamquote pia na kuunga mkono hoja, ndo nikataka kuona hizo picha.
League kubwa hapa kusifia a na kuponda b.
Nimeunga mkono hoja picha za Scorpio nzuri. Hilo sibadilishi. Nimependa hizo picha.
 
Pic yako ya leo imefunika zogo lote la jana

Mwanya na sura rangi ile, sikung'ong'i reception imetulia sana kuliko hata ya yule ulimpost kureeeeee juuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimejikuta nacheka kwa sauti mimi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…