Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shougaaaaa anguuu
Hili vazi la batiki umekua km mke wa katekistaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbavu zangu mie uwiiiiiiih. Khaaaah shougaaa siku hizi umepatwaa na nn? Umeibiwaa had nguoo??
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!
Vijana mabarobaroooooo mna hekahekaaaa sio kidogo!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!

Hebu niwache na dila langu miee๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mimi usiniite huku mpaka siku utakayogeuka. Umenishindisha hapa leo hata huruma huna. Karma itakunyorosha tu kwani utakwenda wapi? ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
Wewe na nduguyo Wigelekelo sawasawa ila Wasukuma mna nini? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwanza huna mtoto ama mdogo wako huko wa kiume?
 
Shougaaaaa anguuu
Hili vazi la batiki umekua km mke wa katekistaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbavu zangu mie uwiiiiiiih. Khaaaah shougaaa siku hizi umepatwaa na nn? Umeibiwaa had nguoo??
Coca umezoea suruali sana eeh

sie wengine hatuna kabisa ni manguo marefu tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom