Mbichwa unajaa huku mimiUna ka mwili katraamu[emoji8]
😂😂 yale yalikuwa kwa ajili ya photoshoot tuHalafu wewe huna makucha ya vile
Mtoto Mashaallah[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]
Weka shee.Unanionea shee... Sitaki niweke ushahidi hapa [emoji30]
Kidogo etiHannah mtata wallah!
Unini eti babake mtoto mzuriUache huohuo umependeza
Akili zikilala tunaziamsha.Watoto wa shule wanasemaga wamemsungu [emoji23][emoji23]
Ila kaelewa somo nadhani, siku nyingine atacomment kwa akili
True.Mbichwa unajaa huku mimi
@Sakayo help me pleaaase. Jana nilituma ya full kasoro kichwa leo nimetuma ya kichwa.Leo nimeshinda kwenye huu uzi, acha uwongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe hela
@Sakayo help me pleaaase. Jana nilituma ya full kasoro kichwa leo nimetuma ya kichwa.
@Sakayo help me pleaaase. Jana nilituma ya full kasoro kichwa leo nimetuma ya kichwa.
HahahahaAise huu uzi unakimbia kama rocket yaani ukitoka tu kwenda kumjibu mtu pm ukirudi unakuta comments mia kidogo zimeongezeka khaa
[emoji23][emoji23][emoji23] makunyanzi yatoke wapi mtoto mteke kabisa wewe!!!!Mi bado ya kichwa na haya makunyanzi hahaahah mtanisamehe
Nikuone wewe kwanzaNikuone tena jamani chibonge [emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuma tena niamini