Selfika na JF: Snap it. Show it

Aise huu uzi unakimbia kama rocket yaani ukitoka tu kwenda kumjibu mtu pm ukirudi unakuta comments mia kidogo zimeongezeka khaa
MP zitakuvunja goti karma[emoji23], na rafiki yangu ana jina kama lako ila yeye Ni mnene mweusi chocolate
 
Hahahaa hii picha haijachorwa japokua kuna wachoraji wanaustadi wakuchora ikatoka picha kali kuliko canon
Yeah duniani kuna artists wa viwango vya SGR mtu anakutazama mara moja tu halafu anakwambia nipe lisaa limoja kitu kitakachotoka hapo utaanza kujiuliza hivi hii picha nilipiga lini vile??
 
Pic yako ya leo imefunika zogo lote la jana

Mwanya na sura rangi ile, sikung'ong'i reception imetulia sana kuliko hata ya yule ulimpost kureeeeee juuu
Asante mwaya!
Nachoamini yule role model wangu tunafanana sana tuu, sema tuu maisha yanatofautiana my dear!!

Tho sijawahi acha mshukuru Mungu venye niko, nikitabasamu tuu ni baraka!!!

Barikiwa sana, najua hunaga unafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…