Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aunt Bantu Lady

Screenshot_20230222_111422_Instagram.jpg

Alafu weekend ndefu ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Screenshot_20230222_111513_Instagram.jpg
 
Pole Ankol bangi nayo ilichangia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wewe unafanyaje? Picha yako inatiweka kabisa jamani. Au hili lisimu?
Kama unatumia bontal inawezekanana aunt ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kuna watu hata wakifuta picha zao siku nzima huwa nikirudi nazikuta tu..mie natumia bontel na browser ya Chrome situmii app
 
Nakupa Ankol wetu National Anthem huyu mkaka poa kabisa. Hana mambo mengi, mtulivu kabisa ushindwe wewe ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ukitaka wakaka wa Kikurya wapo pia niwewe tu dear.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… aunt hunitaki niishi dunia , unanipa mtu wa watu, na mtu wake nasikia anatembea na binduki
 
Back
Top Bottom